UPDATE:SIKILIZA SAUTI YA POLISI WALIPOVAMIA MKUTANO-LUCKY VICENT

Hii hapa mpya ya hivi punde ni kuwa viongozi wa lucky vicent walikuwako kwenye mkutano wa ambao ulikuwa ukijadili kuhusu njia za kugawanya pesa ambazo zilipatikana kama rambi rambi ambazo zilikusanywa kwa ajili ya kufanya fidia na pole kwa familia za wafiwa

MPYA:MAGAZETI YA LEO TAREHE 18 MEI 2017

najua ulikuwa bize kafanya kazi zako za asubuhi hasa zile ambazo zinakuingizie chakula cha kila siku sasa.baada ya kazi za asubuhi na ukapumzika mchana jion hii hebu chukua muda wako kupereuzi vichwa vya magazeti ya leo upate mapya yanayoteokea nchi

NEW:KAULI YA WAZIRI CHARLES MWIJAGE AZUNGUMZIA KUHUSU VIWANDA

Kauli ya waziri charles mwijage amabye ni waziri wa viwanda na biashara akitoa ufafanuzi kuhusiana na swala la wawekezaji ambao wanakutana na vikwazo pindi pale wanpotaka kuja kuwekeza nchini hivyo amewataka wawekezaji hao kuwa kama kuna kikwazo nenda moja kwa moja kwa rais kwani yeye yupo tayari kutoanafasi za uwekezaji kwa mwekezaji yeyote yule.

MWAMUZI AWAANGUSHA NIGER

Mwamuzi ambaye alikuwa akichezesha mechi kati ya mali na niger aliwakosesha ushindi wa halali ambao walikuwa ni lazima waupate kikosi hicho cha vijana wa mali.goli la nje ya kumi na nane lilikataliwa na mwamuzi.

LAZIMA TWENDE KOMBE LA DUNIA "SERENGETI BOYS"

Ushindi wa bao mbili wa bao mbili kwa moja ambao wameupata serengeti boys dhiti ya timu ya soka ya vijana ya angola inazidi kuwapa morari ya vijana hawa kuwa kombe la dunia linalokuja lazima wakakinukishe nchini india.

KAULI YA MHESHIMIWA HUSENI BASHE KUHUSU VIWANDA

Huyu ni mbunge wa nzega mjini ambaye anatoa mchango wake kwenye swala la viwanda na biashara huku akitoa takwimu za kushuka kwa kwa asilimia za uzalishaji ambapo anaendelea kuelezea jinsi sera zinavyobadilishwa kila mara na madhara yake.huku akisema maendeleo ya viwanda ni uwekezaji

UNAJUA HILI ZIJUE NCHI 15 TAJIRI ZAIDI DUNIANI

Unajua duniani tunawi tunaweza kusema kuwa hakuna nchi tajiri na nchi maskini kwani kila nchi inaumaskini wake sasa kwa kulijua hilo kuwa wengi wetu tunaamini kuwa marekani ndio nchi tajifi zaidi duniani sasa zishudie nchhizo huku nchi ukiamini itakuwa ya kwanza ikishika nafasi ya kumi na nane

HAWA HAPA WATOTO WAKIKE WAZURI WA MARAISI WA AFRIKA

ULIDHANI WAZURI NI BONGOGO TU SASA KWA TARIFA YAKO JUA KUWA HUWAJUI HAWA.NIMEKUWEKEA ORODHA YA WATOTO WA MARAISI AMBAO NI WAZURI ZAID.KUWA  MJANJA KWA KUWAJUA HAWA

YATIZAME MAJESHI KUMI BORA AFRIKA KWA MWAKA 2017

VITUKO VYA MBUNGE MLINGA BUNGENI

Nadhani humfahamu vizuri ni nani ila kwa jina kamili anaitwa GOODLUCK MLINGA mbunge katika bunge la jamuhuri ya muungano wa tanzania akiwa anawawakilisha wananchi wa jimbo la Ulanga mashariki.Mbunge huyu anvituko vyake bungeni hebu tizama baadhi ya vituko vyake

Kali Kuliko Zote kutoka Bungeni hiki ni zaidi ya kituko lazima Ucheke

UPDATE:MSILIKIZE MSUKUMA


UPDATE:HII HAPA MPYA KUTOKA BUNGENI


NEW: TANZIA DOGO MFAUME AFARIKI


Leo May 17, 2017 tasnia ya muziki Tanzania imejawa na huzuni baada ya kutangazwa taarifa za kifo cha Mwimbaji Dogo Mfaume aliyefariki akiwa Muhimbili Hospital ambako alitarajia kufanyiwa upasuaji wa kichwa.
Kutokana na kusambaa kwa taarifa hizo za majonzi ambazo zimegusa hisia za watu mbalimbali wakiwemo mastaa wa muziki, watu hao wameelezea masikitiko yao kupitia social media wakiongozwa na mastaa Diamond Platnumz, Nay wa Mitego na wengine…
Msanii Diamond Platnumz ameandika RIP CHAMP!”

BAADA YA SIMBA SASA NI YANGA NA SPORT PESA

Kampuni ya uwekezaji ya sportpesa baada ya kuwekeza kwenye klabu ya simba sport club ambapo ilitoa kiasi cha shilingi milioni 900 ili kuifadhili timu hiyo sasa imeahamisha nguvu tena na kuwekeza kwa wapinzani wao ambao ni yanga sport club ambapo imewekeza kiasi cha shilingi milioni 950.mwakilishi wa kampuni ya sport pesa akitoa maelekezo hayo kuwa pesa hizo zitalipwa kwa awamu nne katika msimu wa ligi kuu bara ya 2017/2018

HAWA NDIO WANAWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA LIGI YA VODACOM


Shirikisho la Soka Tanzania TFF leo May 17 2017 kupitia tovuti rasmi ya shirikisho hilo imetangaza majina matano ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2016/2017 na watapigiwa kura hadi May 23 saa 6:00 usiku.
Majina ya wachezaji watano yaliyotajwa na shirikisho la soka Tanzania TFF ni Haruna Niyonzima wa Yanga, Simon Msuva wa Yanga, Aishi Manula wa Azam FC, Shiza Kichuya wa Simba na Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ wa Simba.
Utoaji wa tuzo hizo utafanyika May 25 2017 lakini mshindi wa tuzo hiyo atapatikana kwa kupigiwa kura na makocha wakuu na wasaidizi wa vilabu vya Ligi Kuu Tanzania bara pamoja na wahariri wa habari za michezo ambapo watatumiwa fomu maalum za kupiga kura

KIPYA KINGINE KUTOKA KWENYE UBALOZI WA MAREKANI


Ubalozi wa Marekani Tanzania kwa kushirikiana na Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar ZIFF unakusudia kuinua industry ya filamu Tanzania ikiwatumia wataalamu wao kutoa mafunzo ya namna ya kukuza soko la filamu.
Ayo TV na millardayo.com zimekutana na Kaimu Balozi wa Marekani Tanzania Bi. Virginia Blaser ambaye amesema lengo la ushirikiano huo ni kutaka kuinua tasnia ya Filamu Tanzania kwa kuwatumia wataalamu wa filamu wa Marekani pamoja na kudumisha uhusiano uliopo baina ya watu wa Marekani na Tanzania.
Aidha, Bi. Blaser amesema kuwa watatoa mafunzo mbalimbali kuhusu namna ya kuandaa filamu na kuzisambaza ambapo mafunzo yatatolewa kwa mara ya kwanza kwa wanawake wanaojihusisha na filamu

MTI WA AJABU MWANZA WAKATWA

NAJUA ZILITAWALA HABARI KUHUSU MTI WA AJABU ULIOKO MKOANI MWANZA KUWA UNATOA MACHOZI YA DAMU KUONYESHA ISHARA KUWA HAUTAKI KUKATWA BASI HII HAPA NYINGINE LEO MEI 16 MTI HUO UMEKATWA HUKU UMATI MKUBWA WA WATU WAKISHUHUDIA TUKIO HILO SHUHUDIA MWENYEWE

MSIKILIZE ROMA MKATOLIKI NA SIMULIZI YA KUTEKWA


Rapa staa Roma Mkatoliki ambaye ali-make headlines kwenye mitandao mbalimbali baada ya kuchukuliwa na watu wasiojulikana na kushikiliwa kwa siku kadhaa amesema bado hajakaa sawa tangu tukio hilo ingawa analazimika kufanya kazi ili apate riziki.
Akizungumza kwenye XXL ya Clouds FM May 17, 2017 Roma amesema waliathirika zaidi baada ya vifaa kuchukuliwa kwenye Studio za Tongwe Records huku yeye akipoteza album nzima na kushindwa kurejea kwenye muziki kwa sasa kwa sababu muziki ni hisia, hivyo anatakiwa kutuliza akili kwanza kabla hajaandika wimbo.
“Hatuko poa sana, lakini lazima tutoke tufanye kazi. Tulipata madhara makubwa kwenye Studio yetu Tongwe Records, baada ya kuchukuliwa vifaa vyetu. Nimepoteza album nzima na muziki ni hisia. Hivyo mpaka nitulie ndio nitaandika ngoma nyingine. Kwa sasa naomba msupport zilizopo. Mdogo wangu Moni Centrozone ana ngoma kali ametoa, inaitwa Tunaishi nao

MJUE MNYAMA MVIVU ZAIDI DUNIANI

Shuhudia mnyama nayesadikika kuwa ndiye mnyama mvivu aidi duniani kwan hutumi masaa kumu na nane kulala na umbali warula moja ambayo ina mita 30 shudia kwenye video hii hapa ili uamini kuwa kuna viumbe vyajabu duniani