Jumuika na mimi kila saa uweze kupata taarifa mpya zinazojiri kila wakati
BAADA YA SIMBA SASA NI YANGA NA SPORT PESA
Kampuni ya uwekezaji ya sportpesa baada ya kuwekeza kwenye klabu ya simba sport club ambapo ilitoa kiasi cha shilingi milioni 900 ili kuifadhili timu hiyo sasa imeahamisha nguvu tena na kuwekeza kwa wapinzani wao ambao ni yanga sport club ambapo imewekeza kiasi cha shilingi milioni 950.mwakilishi wa kampuni ya sport pesa akitoa maelekezo hayo kuwa pesa hizo zitalipwa kwa awamu nne katika msimu wa ligi kuu bara ya 2017/2018
No comments:
Post a Comment