HEKAHEKA: Mume ataka kumchinja mkewe Kigoma, kisa..?
Hekaheka ya leo May 31, 2017 imetokea Kigoma ambako mwanamke mmoja
amenusurika kifo baada ya kutaka kuchinjwa na mumewe kwa sababu ya wivu
wa kimapenzi baada ya mwanamke huyo kusalimiana na mwanaume barabarani.
Baba mzazi wa Zari aelezea alivyoguswa na msiba wa Ivan
Mfanyabiashara maarufu Uganda Ivan Ssemwanga ‘Ivan Don’ ambaye alikuwa
mume wa zamani na baba watoto wa Zari the Boss Lady, hatimaye amezikwa
Kampala, Uganda May 30, 2017 huku akiacha simanzi nyuma yake…mmoja wa
watu waliohuzunishwa na kifo hicho ni mzee Hassan baba yake Zari ambaye
alimuelezea Ivan.
Povu La Mhe William Lukuvi Kwa Wapima Viwanja
Waziri wa Aridhi Na Maendeleeo Ya Makazi Mhe, Willim LuKuvi Amekiagiza
Chama Cha Wakala Upimaji Ardhi Kuwafukuza Mawakala Wapimaji
WaSiokuwa Waaminifu Na Wanaosababisha Migogoro Ya Aridhi
BREAKING NEWS: Ndesamburo hatunaye
Mbunge Mstaafu wa Moshi Mjini na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa
Kilimanjaro Philemon Ndesamburo amefariki dunia mapema leo, endelea kuwa
nasi kwa taarifa zaidi
Wabunge upinzani wamshangilia Mbunge wa CCM Bungeni
Mkutano wa Saba wa Bunge umeendelea tena Dodoma ambapo May 30, 2017
ilikuwa siku ambayo Wabunge walikuwa wanawasilisha maoni yao katika
Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango ambapo miongoni mwa waliopata
nafasi hiyo ni Mbunge wa Viti Maalum Kiteto Koshuma ‘CCM’ ambaye
aliikosoa Bajeti ya Wizara hiyo akiomba ifanyiwe marekebisho.
Investing in Tanzania (Word on the Street)
Vox pop opinions from the public on what is the general investment atmosphere in Tanzania and what is the understanding on IPOs
Watanzania watatu watajwa Jarida la Forbes Under 30 Africa
Kila mwaka Jarida maarufu la Forbes ambalo hufuatilia maisha ya watu
maarufu duniani na kutoa takwimu mbalimbali zikiwepo watu wanaoingiza
pesa nyingi zaidi duniani, mastaa wanaoongoza kwa malipo ama
wajasiriamali wa kutazamiwa.
Mwezi huu Forbes Africa limetoa list ya Wajasiriamali waafrika 30 wenye umri chini ya miaka 30 ambao wamefanya mabadiliko makubwa kwenye sekta zao na wanafanya vizuri kama wafanyabiashara wenye umri mdogo. Mrembo Jokate Mwegelo, Lavie Makeup na Godfrey Magila wametajwa kwenye jarida hilo kama wajasiriamali wakutazamwa.

"Nitawashangaa wanaomshangaa Waziri Mwijage" - Lema
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema 'CHADEMA', leo May 30, 2017 alikuwa
miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma na
kuchangia Mapendekezo katika Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango ambapo
alisema Serikali imeshindwa kutoa tafsiri sahihi ya Tanzania ya
Viwanda.
Jerry Muro ana Majina Ya Wabunge Waliohongwa Sakata la Mchanga wa Madini
Jerry Muro ana Majina Ya Wabunge Waliohongwa Sakata la Mchanga wa
Madini. Asema walikuwa wanawabebea mabegi wawekezaji na kisha kuhongwa
Mrema afunguka alichofanya Magufuli kwenye Mchanga wa Madini
Mrema afunguka alichofanya Magufuli kwenye Mchanga wa Madini.
Augustino Lyatonga Mrema (born 31 December 1944) is a Tanzanian politician and former minister for home affairs in Tanzania. After switching party affiliation in February 1995 he joined NCCR-Mageuzi before moving on to Tanzania Labor Party where he was made the Party Chairman. Tanzania Labour Party (TLP) party. He served as the Member of Parliament for Vunjo constituency on multiple occasions until 2015 when he was defeated in the National election by Hon. James Mbatia of NCCR MAGEUZI. In early 2016 Mr. Mrema was appointed by President John Joseph Pombe Magufuli as the chairperson of Tanzania Parole Board

Walichokisema Wananchi wa Mkuranga Kufuatia Kamanda Sirro Kuapishwa kuwa...
Kufuatia kuapishwa kwa IGP Simon Sirro, wakazi wa Mkuranga mkoani Pwani,
wameelezea hisia zao kuhusu uteuzi huo uliofanywa na Rais John Pombe
Magufuli wa kumteua mkuu huyo mpya wa polisi.
MATAJIRI Wafanya KUFURU kwenye Kaburi la IVAN
Baadhi ya MATAJIRI Wakubwa Nchini Uganda ambo pia walikua Marafiki wa
Karibu wa Marehemu Ivan Ssemwanga Wamwaga Pombe na Pesa kwenye Kaburi la
IVAN wakati wa Mazishi yake.
Mchekeshaji Eric Omondi alivyovamia stage kucheza SALOME na Diamond
Mchekeshaji staa wa Kenya Eric Omondi alikuwa mmoja wa kivutio katika
Tamasha la Koroga Festival lililofanyika Nairobi Kenya May 28, 2017
baada ya kuvamia stage na kuanza kucheza wimbo wa Salome sambamba na
staa wa Tanzania Diamond Platnumz ambaye alikuwa anatumbuiza akiwa na
Band yake kwenye tamasha hilo.
EXCLUSIVE: Steve Nyerere afunguka tofauti yake na Mama Wema Sepetu
Muigizaji mkongwe wa Filamu Tanzania Steve Nyerere amekaa na Ayo TV na
millardayo.com ambapo kati ya mambo aliyozungumza ni kuhusu kuyaweka
pembeni mambo yote yaliyotokea baina yake na Mama yake Wema Sepetu
Baada ya Young Dee Kummwaga, Amber Lulu Afunguka Jinsi Alivyoteseka Kima...
Penzi la Young Dee na Amber Lulu limevunjika lakini bado mwanadada huyo
analiwewesekea penzi la mkali huyo wa Bongo Bahati Mbaya ambapo
amefunguka kwamba alimpenda sana na hakutegemea kama watamwagana mapema
kiasi hicho
Breaking News: IGP Sirro Apiga Mkwara Mzito Mauaji ya Mkuranga, Asema Ub...
IGP Simon Sirro amewachimba mkwara mzito watu wanaoendesha mauaji ya
viongozi wa serikali, chama na askari kwenye silaya za Mkuranga,
Ikwiriri na Rufiji na kuwahakikishia wananchi kwamba siku zao
zinahesabika.
Akizungumza na waandishi wa habari, kamanda Sirro amesema
Akizungumza na waandishi wa habari, kamanda Sirro amesema
Chameleone, Bobi Wine waeleza walivyoguswa na kifo cha Ivan
Watu mbalimbali wakiwemo mastaa wa muziki wa Uganda walikuwa ni sehemu
ya waliohudhuria mazishi ya aliyekuwa Mfanyabiashara maarufu nchini humo
Ivan Don ambaye amezikwa May 30, 2017 kwao Kampala.
Miongoni mwa mastaa wa Muziki kutoka Uganda ambao Ayo TV na millardayo.com imekutana nao kwenye msiba huo ni Jose Chameleon na Bobi Wine ambao hawakusita kueleza hisia zao juu ya msiba huo
Miongoni mwa mastaa wa Muziki kutoka Uganda ambao Ayo TV na millardayo.com imekutana nao kwenye msiba huo ni Jose Chameleon na Bobi Wine ambao hawakusita kueleza hisia zao juu ya msiba huo
Subscribe to:
Posts (Atom)