update:msikilize harmorapa akiwachana WCB

Kwa sasa mtu ambaye atakuwa hamfahamu harmorapa bas atakuwa si mtoto wa mjin.harmorapa ni moja ya vipaji ambavyo vinakuwa kwa kasi katika kiwanda cha mziki tanzania.hii hapa ilikuwa ni mahojiano yake na diva the bosi lady. pia katika mahojiano hayo  aliwachana wcb

update:majambazi sugu kutoka tegeta wauwa

hali katika jiji la dar es salaam kwa sasa ni mbaya kwani majambazi wanendelea kuibuka katka kila kona ya jiji hili wakitaka kuporamali za wakazi na wafanyabiashara wa jiji hili.kutoka tegeta polisi wamefanikiwa kuwauwa majambazi wanne ambao walikuwa katika hatua za kufanya ujambazi

BREAKING: polisi wauwa majambazi wanne kariakoo

kikosi cha polisi jijini Dar-es-salaam wamefanikiwa kuwauwa majambazi wanne ambao walikuwa wamevamia kwenye soko la kariakoo.polisi wamefanikiwa kuwauwa majambazi haobaada ya kurushia risasi kwa muda

LIVE: Taarifa ya Habari ya TBC 1 (Jumapili Mei 21, 2017 - Usiku)

hii hapa aarifa ya habari kutoka kkatika shirika la utangazaji tanzania (tbc)

Breaking news:pole nahodha wa serengeti boys

Nahodhawa serengeti boys issa makamba katika hali isiyotarajiwa na wengi amevunjika mguu wakati akifanya mazoezi ya kawaida.makamba aliumia mwenyewe.kwa hali hiyo inampelekea nahodha huyu kukaa nje ya uwanja kwa muda wa miezi mitatu kabla hajarudi tena uwanja

update:simba wagomea ushindi wa washindi wa pili ligi kkuu bara

baada ya yanga kutangazwa kuwa ndio washindi wa ligi kuu bara na wapinzani wao kupewa nafasi ya pili kama washindi lakini katika hali isiyo ya kawaida timu ya simba imekata zawadi hiyo.

UPDATES:HAATIMAYE VIONGOZI WA AFRIKA MASHARIKI WATIA SAINI UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA

Haimje ule muda ambao ulikuwa unasubiriwa na wanaafrika mshariki umetimia kwan ssa viongozi wa afrika mashariki wameweka saini ya ujenzi wa bomba la mafuta kutoka uganda mpaka bandari ya tanga

UPDATE:TSHABALALA ATAJA TIMU ILIYOWAKOSESHA USHINDI

Beki chipukizi wa simba ametja timu ambayo imewafanya wakose ushindi.

UPDATE:HUYU HAPA MMOJA YA WANAFUNZI WALIONUSURIKA KATIKA AJALI YA ARUSHA

Hizi ni salamu kutoka kwa mmoja kati ya wanafunzi walionusurika kwenye ajali ya arusha hapa akitoa salamu kwa watanzania ambao bado wanawaombea kutoka marekani ambako yeye na wenzake wamepelekwa kwa ajili ya matibabu

update: zamu y bagamoyo mashindano ya magari 2017

baada ya kushuhudia mashindano haya yakifanyika kwenye mikoa tofauti tofauti sasa ni bagamoyo.usiwe mtazamaji wa vipindi kwenye television njoo uone hizi kali live bila chenga

MJUE HUYU;HUYU HAPA DADA YAKE MHESHIMIWA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI

Najua ulikuwa unamjua mheshimiwa rais peke yake ila huyu hapa ni dada wa rais wetu mpendwa John pombe magufuli.mheshimiwa raisi ametokea kwenye wilaya ya chato.

update;tanzia wachimbaji wawili wafariki mkoani iringa

wachimbaji wawili katika kijiji cha masuluti mkoa iringa wamefariki dunia kutokana na kukosa hewa na pia kukosa hewa kutokanana kukosa hewa ya oksigen.

UPDATE;YAJUE YALIYOTOKEA KWENYE ZIARA YA SIKU TATU YA MHESHIMWA RAIS MKOANI KILIMANJARO

Ilikuwa ni tarehe 29 april mwaka huu ambapo mheshimwa rais alikuwa na ziara katika mkoa wa kilimanjaro ambapo alikpokewa  kwa ngoma na vifijo vya nderemo.ziara ya rais ilikuwa ni ya siku tatu ambapo katika ziara yake iliamabatana na maadhimishisho ya wafanyakazi ambayo kitaifa yalifanyikia pia mkoa huu wa kilimanjaro

update;maadhimisho ya miaka 21 ya kuzama kwa meli ya mv bukoba

Japo ni huzuni sana kuwapoteza wapendwa wetu wote katika tukio la kuzama kwa meli ya mv bukoba.zoezi la kuwakumbuka watu waliokufa katika ajali hiyo ya mvi bukoba.

JUA HII:HII NDIO TASWIRA YA MJINI WA KISASA ANAYOTAKA AJENGE

Mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima aendelea kuelezea jinsi mji wake utakavyokuwa pamoj namadhari ya mji huo utakavyoonekana katika taswira hii.akiendelea kuongea akisema wakati akiwa katika uzinduzi wa helikopta yake kawe ambapo alikutana na mchungaji mmoja akamwamwambia afrik mashariki hakuna mchungaji anayemiliki ndege ila kwa sasa kwa gwajima ametengeneza njia

breaking news:jengo jipya la kanisa la gwajima ndio kubwa zaidi

Jengo jipya  la kanisa la mkuu wa kanisa la ufufuo nauzima josephat gwajima ndio linalosemekana kama kanisa kuba kwa sasa katika ukanda huu wa afrika.haya hapa maelezo yake juu ya ujenzi wake na akielezea jinsi wa uzinduzi wa kanisa lake hilo

breaking news:kauli ya nahodha wa simba juu ya liigi kuu bara msimu wa 2016/2017

huyu ni nahodha wa timu ya simba fc akielezea jinsi msimu mzima waligi kuu bara ya tanzania 2016/2017 jinsi ilivyokuwa na jinsi wanavyojipanga katikamsimu ujao wa ligi kuu bara ya tanzania bara

breaking news:Hii hapa ya mheshimiwa ezikieli maigeakitoa mchango kwenye wizara ya kilimo

mbunge wa msalala ezekiel maige atoa mchango wake kwenye wizara ya uvuvi na mifugo akitoa mchango wake kwenye wizara.Akitoa mchango huu ni kuwa wafugaji wengi na wakulima wamekumbwa na magunjwa hasa  funza ambazo bado dawa za kukinga funa hao bado ni ngumu huku wakulima akitumia sabuni za unga pamoja na majivu ili kutibu funza hao

breaking news:zijue sababu za kuujiuzulu kwa said meck sadiki

kama unavyojua uongozi na o ni kazi kama kazi nyingine ila hakuna kazi ngumu kama kuongoza watu zaidi ya miamoja mabo wanahitaji maamuzi yako wakati wa kufanya maamuzi.ungependa ujue  kwa nini mkuu wa mkoa wa kilimanjaro kujiuzulu.endelea msikilize kwa umakini ili uwe ujue ni kwa nini mkuu huyu wa mkoa alijiuzulu


breaking news:haya hapa mapokezi ya yanga fc kutoka airport

Bingwa ni bingwa tu hii inadhihirika leo kwenye timu ya yanga fc kwani umati mkubwa wa watu umejitokeza kuwapokea wachezaji wa timu ya yanga ambo wanatoka mkoani mwanza  ambapo walikuwa wanapambana na mbao fc ambapo tulishudia goli la hamisi tambwe kupeleka kombe hili tena yanga.yanga ilishinda goli  moja