breaking news:Mvua Kubwa Yatikisa Dar... Maji Yavamia Makazi ya Watu

bmvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo tofauti tofauti nchi zaendelea kuleta mazara makubwa kwa wakazi wa maeneo husika.leo mvua zinazoendelea kunyesha zimeshaleta mazara makubwa kwa wakazi wa mkoa wa dar es salaam kwani maji yanaingia kwenye majumba ya watu .

breaking news:Wizara ya Maliasili yataja mahitaji yake ya Fedha 2017/18


leWaziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe leo May 23, 2017
amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha ya Wizara
hiyo kwa mwaka wa fedha 2017/2018 ambapo ameomba kutengewa Tsh. 148.5b.o hii wizara ya maliasi na utalii yapitisha bajeti yake kwa mwaka 2017/2018.

breaking news:Ripoti ya mchanga wa dhahabu mezani kwa JPM


leo hii taarifa kuhusu mchanga wa dhahabu imefikishwa mezani kwa raisi kwa ajili ya kuipitia.akielezea hayo mkuu wa kitengo cha habari kutoka ikulu ndugu gervans mhando hapa akielezea riport hiyo

EXCLUSIVE: Ben Pol afunguka kuhusu picha zake za bila nguo



Mwimbaji
staa wa RNB Ben Pol amekaa kwenye OnAIR with Millard Ayo na kueleza ni
kwanini na ilikuaje mpaka akapiga zile picha za bila nguo na kuzipost
kwenye Instagram yake.

EXCLUSIVE: Ben Pol afunguka kuhusu picha zake za bila nguo



Mwimbaji
staa wa RNB Ben Pol amekaa kwenye OnAIR with Millard Ayo na kueleza ni
kwanini na ilikuaje mpaka akapiga zile picha za bila nguo na kuzipost
kwenye Instagram yake.

RUGE MUTAHABA AMJIBU PAUL MAKONDA

Mkurugenzi wa vipindi vya clouds media Ruge Mutahaba ameongelea mambo
kadha wa kadha yaliyoibuliwa na Mkuu wa mkoa Paul Makonda kuhusu yeye
.Fuatilia hapa kwa karibu zaidi.

upadae:SIKU YA FISTULA DUNIANI


hii hapa siku ya fistula duniani kiundani zaid

update:Kila mtu anatakiwa kula kilo 20 za samaki - Ngwali


hii hapa kauli aya muheshimiwa ngwali Mbunge wawi Ahmad Juma Ngwali amekerwa na serikali kupoteza mapato mengi
bahari kuu akisema kuwa kitendo hicho hakikubaliki na kuitaka wizara ya
Kilimo, Mifugo na Uvuvi kuja na mikakati ya kuinua sekta hiyo

updates:full video ya wapo concert

mwanamziki ney wa mitego alikuwa aki fanya performance katika tamasha la wapo concert lililokuwa linafanyikia  dar live

Serikali Yaajiri Waalimu Wa Sayansi Na Hisabati 4,129.

Akijibu Hoja Za Wabunge Baada Ya Mjadala Wa Bajeti Ya Wizara Ya Elimu
Sayansi Na Teknorojoa Mhe, Stella Manyanya Amesema Kufatia Upungufu Wa
Walimu Wa Sayansi Serikali Wameajiri Walimu 4,129 Ambao Wamepelekwa
Katika Sule Mbaimbali Nchini

breaking news:mbunge wa mlalo alia na bei ya tangawizi

Mbunge Wa Mlalo Mhe. Rashid Shangazi Amelalamikia Bei Ya Tangawizi Sokoni Ambayo Inasababisha Wakulima Kupata Hasara.
Ikumbuke
Tangawizi ni Zao Ambalo Linalimwa Kwa Wingi Wilayani Lushoto Na Maeneo
mangine Nchi Kama Kigoma Tangawizi Ni Kiburudsho Katika Chai Pia
Inatumumika Katika Matumizi Ya Dawa Pamoja Na Kuleta Radha Katika
Chakula

news:sasa wamehamia kwa singida united sport pesa

Kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa imeendelea kuonesha dhamira
yake katika kuhakikisha Ligi Kuu soka Tanzania bara msimu ujao
2017/2018 kunakuwa na ushindani wa kweli kutoka katika timu mbalimbli
kutokana na jitihada zake za kudhamini vilabu kadhaa. Baada ya kuingia
mkataba wa udhamini na Simba na Yanga katika kipindi cha miaka mitano
wenye thamani ya zaidi ya Tsh Bilioni 4, leo May 23 wametangaza kuingia
mkataba wa mwaka mmoja wa udhamini na club ya Singida United ya Singida
wenye thamani ya Tsh milioni 250.

Tanzania ya viwanda iende sambamba na kuimarika kwa kilimo, Wabunge

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameonyesha wasiwasi
wao kuhusu kutekelezwa kwa sera ya Tanzania ya viwanda kwani serikali
haijaonyesha nia ya dhati ya kuinua kilimo nchini. wabunge hao waendelea kusisitiza kuwa tanzania inahitaji fikra mpya kwa watanzania wake ili maendelea yaweze kuwa na tija kwa taifa                                                 

updates:"tunafanya upelelezi juu ya uvamizi wa clouds media"kamanda sirro

kamanda sirro aelezea  juu ya upeezi wa jinsi ni kwa nini mclouds media ivamiwe pasipo kibali maalumu

update:ukiingia kwenye laini ya uhalifu twakugonga

kama sirro asema ukinngia kwenye kundi la uhalifu lazima wakukamate kwa namna  yeyeto hile lazima wakukamate

TRA yahimiza ulipaji kodi

mamlaka ya mapato tanzania mkoa wa mwanza wahimiza ulipaji kodi kwani kulipa kodi huko ndio kunaifanya serkali iendeshe mradi yake mingi ya kimaendeleo

MAKONDA: MIMI SIKUVAMIA CLOUDS

mkuu wa mkoa wa dar es salaam amesema kuwa yeye hakuvamia clouds kwani clouds ni kama nyumbani na kuendelea kusema kuwa clouds wanatumia computer yake kufanya editing ya kazi zao

UPDATES:IDARA YA UN YAHIMIZA KUTOA MSAA KWA BARA LA AFRIKA

Shirika la umoja wa afrika UN pamoja na shirika la chakula duniani lahimiza kuwa lazima misaada ya chakula lazima itolewe kwa nchi  za afrika kwani inasemekana sehemu kubwa ya sehemu ya bara la afrika limekumbwa na baa la njaa.

VOA YADHIBITISHA KUWEPO KWA NJAA BARA LA AFRIKA

SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA VOA LIMETHIBITISHA TATIZO LA NJAA ABALO LINAKUMA BARA HILI LA AFRIKA.KUTOKANA MAELEZO YA VOA SAUTI YA AMERIKA WANASEMA ASILIMIA KUBWA YA SEHEMU YA AFRIKA IMEKUMBWA NA BA LA NJAA NCHI KAMA SOMALIA AMBAPO NCHII IMEKUMBWA NA VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE NA KUSABABISHA MAMIA YA WAKAZI AKE KUIKIMBIA NCHI YAO HUKU WAKIMBIZI HAO WAKIKUMBWA NA NJAA KALI NA KUKOSA MAJI

VOA YADHIBITISHA KUWEPO KWA NJAA BARA LA AFRIKA

SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA VOA LIMETHIBITISHA TATIZO LA NJAA ABALO LINAKUMA BARA HILI LA AFRIKA.KUTOKANA MAELEZO YA VOA SAUTI YA AMERIKA WANASEMA ASILIMIA KUBWA YA SEHEMU YA AFRIKA IMEKUMBWA NA BA LA NJAA NCHI KAMA SOMALIA AMBAPO NCHII IMEKUMBWA NA VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE NA KUSABABISHA MAMIA YA WAKAZI AKE KUIKIMBIA NCHI YAO HUKU WAKIMBIZI HAO WAKIKUMBWA NA NJAA KALI NA KUKOSA MAJI