Mbunge upinzani ampongeza RAIS

Siku moja baada ya JPM kutengua uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Nishati na
Madini Prof. Sospeter Muhongo baada ya kupokea ripoti ya Kamati Maalum
iliyochunguza Makontena ya mchanga, Mbunge wa Mtwara Mjini Maftaha
Nachuma, CUF leo May 25, 2017 amelieleza Bunge kuwa Rais amefanya
kitendo cha kishujaa kutengua uteuzi huo akisema anapaswa kuungwa mkono.

UFAFANUZI: Tetemeko la Ardhi lililotokea Kanda ya Ziwa

May 25 2017 ziliripotiwa taarifa za kutokea tetemeko la Ardhi Kanda ya
Ziwa ambako Askari mmoja amefariki kutokana na mshtuko katika Wilaya ya
Misungwi ambako Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo amethibitisha kuupokea mwili
wa Askari huyo.

HALIMAMDEE AZUNGUMZIA MIGOGORO YA ARDHI

Mbunge wa jimbo la kawe Halima Mdeee amekuta na staili ya aina yake
alipokuwa akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya ardhi,
Nyumba na maendendele ya Makazi akieleza kuwa yupo kijimbo jimbo kwani
wananchi wa Kawe ndiyo wanaomuweka mjini.

EXCLUSIVE: Chin Bees afunguka kuhusu mahusiano na Navy Kenzo

Mwimbaji staa wa Bongofleva Chin Bees amekaa kwenye Exclusive Interview
na Ayo TV na kueleza kuhusu mahusiano yake na kundi la Navy Kenzo pamoja
na mambo mengine ya kimuziki.

UPDATES;Baraka The Prince aeleza sababu za kutoukubali wimbo wa Ben Pol

Baada ya Mwimbaji wa R&B Ben Pol kuachia wimbo mpya ‘Tatu’
akimshirikisha Darassa, wimbo huo umepokelewa kwa hisia tofauti na watu
mbalimbali hasa baada ya picha za staa huyo alizopiga akiwa bila nguo
kuwa gumzo mitandaoni zikidaiwa kuwa ni promo kwa ajili ya ujio wa wimbo
huo

mbwembwe za yanga Yanga Bungeni

Yanga Watinga Bungeni Dodoma

timu y yanga african leo imeingia bungeni kupeleka ushindi wao moja kwa wabunge amabo ni mashabiki wa yanga

UPDATES:Huyu ndio Msanii mpya wa WCB

WCB leo wamemtangaza msanii mpya katika kundi lao la wassafi classic.uunataka umsikie msaniii huyo ni nani msikilize chibu  akimtangaza msanii huyo mpya

updates:kauli ya maimamu kuhusu kuuwa kwa mwenzao

Maimamu wa msikiti wa Al-Kheri uliopo Kurasini jijini Dar es Salaam, wametoa tamko la kuliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuunda Tume itakayowahusisha viongozi na wataalamu kuchunguza vifo mbalimbali vilivyotokea katika mazingira ya kutatanisha.viongozi hao wamesema kuwa wanaliomba bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania kutafuta njia nyingine ya kufanya ii kuweza kumpata muuwaji wa imamu mwenzao

sokwe wa gombe wanavyoishi kama binadamu

Sokwe wa Hifadhi ya Gombe, ni miongoni mwa vivutio vikubwa duniani ambapo watalii kutoka sehemu mbalimbali, husafiri mpaka mkoani Kigoma, kwenda kuwatazama sokwe hao. Kipindi cha 

Fahari ya Tanzania kinachorushwa na Global TV, kinakuletea video hii maalum ujionee mwenyewe jinsi sokwe hao wanavyoishi, tabia 
zao zikishabihiana kwa sehemu kubwa na binadamu.kwa kiasi flani sokwe hawa tabia zao zinaendana kabisa na zile zinazofanya na binadamu

updates: Serengeti Boys Wawasili nyumbani

Hatimaye timu ya taifa ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17, #Serengeti Boys, imewasili nchini kutokea Libreville, Gabon ilikokuwa ikishiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) baada ya kufungwa 1-0 na Niger.walipowasili katika uwanja wa kimataifa wa mwalimu julius kambarage nyerere ambao walipokelewa na waziri wa habari na michezo mheshimiwa harrison mwakymbe

updates:sport pesa waanzisha mashindani yao ambayo yataanza mwishonimwa mwezi huu

baada ya kuzizamini timu tu za ligi kuu bara tanzania simba,yanga na singida united.leo sport pesa wameamua kuanzisha mashindano yao ambayo yanatarajia kuanza mwishoni mwa mwezi huu.mashinsani hayo yatashirikisha timu kutoka tannzania bara ambazo ni simba,yanga na singida united huku kutoka zanzibar kutakuwa na jagombe boys na timu nyingine ni kutoka kenya ambazo ni gormahia

updates:Muelekeo Wakupungua Matatizo ya Moyo Yanayowakabili Watoto Wadogo

gundua mueleko wa kupungua kwa ugonjwa wa moyo kwa watoto walio chini ya miaka mitano.wakisema hayo vingozi hao waliobobea katika maradhi hayo wanasea wanatarajia kufanya ziara zanzibar kufanya uchunguzi na baada kuja kufanya uchaguzi kwenye baadhi ya mikoa na kuangalia ni sehemu gani inatakiwa iwekewe kipaumbele

updates:ROMA Alivyochana Mbele ya Magufuli Leo

mwanamziki roma jana alitumbuiza mbele ya raisi john pombe magufuli.akiwa mbele ya viongozi wegi wakubwa wa nchi ktika moja ya mikutano uliofanyika ikulu.tumbuizo hilo liliambatana na riport kuhusu mchanga wa dhahabu ambayo ilikuwa inawakilishwa mbele ya raisi baada ya uchunguzi

upadate:LISSU Afukunyua Mazito Zaidi Sakata la Mchanga wa Dhahabu

Mbunge wa Singida Mjini na Rais wa Chama cha Wanasheria cha Tanganyika, Mhe. Tundu LISSU Amefukunyua Mambo mengine Mazito Zaidi Kuhusu Sakata la Mchanga wa Dhahabu

updates:Tuzo za Wachezaji Ligi Kuu, Tshabalala, Niyonzima, Kichuya, Mbaraka, Msu...

Tuzo za wachezaji wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, jana zilitolewa katika hafla iliyofanyika Jumatano katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam ambapo wachezaji mbalimbali na makocha waling'ara.wachzaji kama haruna niyonzima kwa yanga,Tshablal wa simba wang'aa kwenye tuzo hizo za ligi kuu bara

news:msukuma asema professor magembe amefeli

news:KAULI YA NIYONZIMA BAADA YA KUPEWA TUZO

Tuzo za wachezaji bora VPL, zimezidi kuwa gumzo ambapo Mchezaji Haruna Niyonzima wa Klabu ya Yanga, yeye alinyakua tuzo ya mchezaji bora wa kigeni. Global Tv Online ilipiga naye stori mbili tatu akiwa na mkewe kwenye ukumbi wa Mlimani City.mchezaji huyo ambaye ndiye fundi kwenye kikosi cha yanga aelezea mtarajio  kwenye ligi kuu bara inayokuja

NEWS:Mapendekezo 9 JPM ameyapitisha kutoka Kamati ya mchanga wa madini

Leo May 24, Ikulu Dar es salaam Rais Magufuli amepokea ripoti ya Kamati Maalum iliyoteuliwa na Rais kuchunguza mchanga wa madini kwenye makontena 277 yaliyozuiwa na serikali kusafirishwa kwenda nje kwaajili ya uchenjuaji.


Kamati hiyo iliyoongozwa na Mwenyekiti wake Prof. Mruma imemkabidhi ripoti iliyoonesha kuna upotevu mkubwa wa mapato na rasilimali za nchi, ambapo ripoti imesema Tanzania inapoteza kiasi cha Tsh. Bilioni 829.4 hadi Trilioni 1.439 kwa kusafirisha mchanga nje ya nchi.

update:offer for you



Hi!
My name is Eric Godson I’m from Tanzania, I hope you’re doing well in your respectively country.
I have to in order to win is to sacrifice yourself on i.e. like to say that today the world seem as the global society where people from different country could easily communicate by different mean that suit them.
Dear friend:
 I would like to say that I have got a lot of talent of writing songs but unfortunately I don’t know how to sing. Therefore I hope your guys from wherever you are in these global you have the talent of tuning your voice to be a nice one ever here I have a proposal to make to you.
I’m selling my song for better and cheap price the song have not yet got someone to make money from it so you guys you have a chance of winning the bid on the make please if your interest on what I have expressed on above please contact me on my  e-mail account which is
Ericgodson2016@gmail.com or visit on my blog which is kwanguleo.blogspot.com. facebook eric godson. or on twitter godson-eric
Vision. “I need to sell my song even for a little or cheap price since what I need to be motivated on what I’m doing since what I now is that when someone contract for a something that you’re doing is what make you proud of it. I still pray that my song will be one day on the air somewhere and someone is changing his/her life from my song that I have made”.by Eric godson.
Dear singer.
I will be in touch with your support with whatever you wish to do to me.my song are in the form of verse and chorus and their in a form of love songs, praise song, motivation song or inspiration songs. Here where is a chance for you to win what you have dreaming for your awards a waiting for you, the global is waiting for you to be famous. Please contact me.