breaking news:haya hapa mapokezi ya yanga fc kutoka airport
Bingwa ni bingwa tu hii inadhihirika leo kwenye timu ya yanga fc kwani umati mkubwa wa watu umejitokeza kuwapokea wachezaji wa timu ya yanga ambo wanatoka mkoani mwanza ambapo walikuwa wanapambana na mbao fc ambapo tulishudia goli la hamisi tambwe kupeleka kombe hili tena yanga.yanga ilishinda goli moja
breaking news:jua yaliyojiri lkatika magazeti ya leo tarehe 21 mei 2017
najua ulikuwa bize sana asubuhi ya leo na ukakosa muda wa angalau kujua yanayoendelea kwenye vichwa vya magazeti ya leo taerehe 21 mei 2017.baada ya kujua hilo basi tumia muda wako huu wa mchana kusoma magazeti ya leo.soma ugundu jiya katika nchi yetu
breaking news:miaka 21 ya kuzama kwa meli ya mv bukoba
Japo ilikuwa ni huzuni sana kwa watanzania walio wengi,sio rahisi mtu kusahau hali ilivyokuwa muda ule ambao mtu anapokea taarifa haza za kusikitisha sana.ndivyo ilivyokuwa wakati ule wa kuzama kwa meli iliyokuwa natuma kubwa kwa wakazi wengi wa kanda ya ziwa kwani ndio ilikuwa usafiri mkubwa wa wakazi hasa wa kanda hiyo ya mwanzo.kwa pamoja tuungane na wakazi wa kanda hii ili tuwatie moyo katika kipindi hichi kigumu.Mungu azilaze roho za marehemu amina.
breaking news:mvua yakatisha mchuono wa mziki kati ya sikinde na msongo
Kama wewe ni mpenzi wa mziki basi huwezi kusahau jinsi mchuano wa mziki uliokuwepo zamani kati ya sikinde ngoma ya ukae pamoja na msondo ngoma baba ya mziki.kipindi hicho bendi ya msongo ilikuwa ikiongozwa na Tx moshi pamoja na mzee ngurumo.ila hali ilikuwa mbaya kwa siku ya jana kwani mvua ilihalibu mchuano ambao ulikuwa unatakiwa ufanyike kati yabendi hizi mbili
NEW.MBUNIFU WA MAVAZI KUTOKA DAR
Je wewe ni mpenzi wa mitindo sasa jibu kama ni ndio basi kuna fursa hii hapa.mbunifu wa mavazi kutoka dar es salaam ameibuka n kufanya mazungumzo na waandishi wa habari jinsi anavyofanya ili kutangaza nguo zake ambazo zinakuwa na nakishinakishi nyingi nyingi
BREAKING NEWS:YANGA MABINGWA WAPYA
Baada ya kuwafunga mbao kwenye mechi ya ligi kuu bara hatimaye time ya yanga african imefanikiwa kuupata ubingwa kwa mara nyingine tena.hii inathibitisha kuwa wao ni mabingwa kuwazidi timu ya simba sports club
breaking news:ifakara wagungua viatu vya kufukuza mbu
kutoka ifakara,kampuni ya inayohusiana na mambo ya ugunduzi mkoa wa morogoro katika wilaya ya ifakara wamegundua viatu ambavyo vitaweza kuwafukuza mbu wakati wa jioni.utafiti huu bado hauja kamilika kwani uko katika hatu za awali za majaribio
Breaking news:Mwanza wajipanga kukabili ugonjwa wa ebola
ikiwa kama moja ya mikoa yenye vipaumbele vikubwa Tanzania kama vile ziwa victoria ambalo linawatalii wengi ambo wanapenda kuutembelea mkoa huu lakin hivi karibuni ugonjwa wa ebola unasemekana kuibuka katika nchi ya kongo hivyo basi kutokana na hali iinayoendelea nchi kongo ambayo inatenganishwa na mkoa wa mwanza kwa ziwa hili.mkoa huu umejipanga kukabiliana na ugonjwa huu kama maelezo ya mganga mkuu wa mkoa
LIVE: Taarifa ya Habari ya TBC 1 (Ijumaa Mei 19, 2017 -Usiku)
Tazama taarifa ya habari ambayo iko live sasa
breaking news:haya hapa maelezo juu ya kupimwa kwa serengeti boys
Afisa habari wa shirikisho la soka tanzania (TFF) akielezea jinsi ambavyo serengeti boys walitakiwa kupimwa kabla ya mechi.Akielezea zaidi ni kuwa kabla ya michezo kuanza lazima wachezaji wawili kutoka kwenye kila timu lazima wapimwa ili kuthibitisha kuwa wachezaji hawatumia dawa za kuongeza nguvu mchezo.
breaking news:Mkemia mkuu ajitosa suala la kemikali
mkemia mkuu wa serikali mheshimiwa Samweli Manyele ametotosa kwenye sakata linalohusiana na kemikali linalohusu kampuni ya Tecno net scientific
BREAKING NEWS:KAMPUNI YA RELI YAHAMISHIA OPERESHENI ZAO MOROGORO KWA MUDA
Kutokana na moja ya madaraja kukatika hasa lile la ruvu kukatika shirika la reli Tanzania limehamisha operetion zake kwa muda mkoa morogoro kutoka na hitilafu ambazo zimejitokeza.Akizungumza na vyombo vya habari kaimu wa idara ya masomo ya shirika la reli tanzania ndugu Shabani juma kiko amesema aabiri ambao walitakiwa wasafiri leo watasafirishwa na mabasi mpaka morogoro ambapo wataendelea na safari yao kama kawaida
BREAKING NEWS:TEKNO ALA SHAVU LA DOLA ZA KIMAREKANI MILLION NNE ZA SONY MUSIC
Baby love me tender ni moja ya mistari iliyoko kwenye nyimbo za mkali kutoka nigeria tekno ambaye kwa sasa anaendelea kuota shavu baada ya kusaini mkataba na colombia music chini ya sony music ambapo atatoa nyimbo tatu ambazo zitasambazwa dunia nzima na lebo hii.Hongera sana tekno
BREAKING NEWS:NAY WA MITEGO ATOA SHOW YA BURE KARUME KESHO DAR LIVE
Taarifa za hivi punde mr nay wa mitego adondosha show ya bure katika soko la karume.Kesho Mr nay wa mitego pamoja na rapa kara kala jeremia hii yote ni ndani ya wapo concert chini ya global tv
BREAKING NEW:VIPAUMBELE VINNE VYA WIZARA YA KILIMO
Waziri wa kilimo dr Charles kizeba katika uwasilishaji wa bajeti ya mwaka wa fedha wa 2017/2018 ambao wizara imetenga kiasi cha shilingi 267.8 billion kama fedha zitakazotumika katika mwaka wa fedha huo.huku akiendelea kutoa tozo katika nyanja mbalimbali ambazo ni maziwa na nyama
BEAKING NEWS:DK TIZEBA"TUNAFUTA TOZO 80 KWENYE MAZAO
waziri wa mifugo na maji Dr Charles kizeba ametangaza kufuta tozo 80 za mazo ambazo ziliwekwa kwenye mazao ambazo zilikuwa zinawafanya wakulima kuacha kulima mazao hayo kutokana na kukosa faida katika mazao hayo.kwa kufanya hivyo serikali inawaakikishia wakilima kuwa sasa wanaweza kupata faida katika mazao hasa ya biashara
UKIWA WAZIRI,NAIBU WAZIRI LAZIMA ULINDE SERIKALI YAKO-CHARLES KITWANGA
Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi kabla ya kutenguliwa na raisi amefunguka na kusema kuwa unapokuwa waziri au naibu waziri ni lazima uilinde serikali yako kwanguvu zako zote.lakini watu wengine watahoji kwa nini ulikuwa kimya muda wote mpak leo hii uongee leo.Asema lazima nitetee serikali yangu na sasa anasema yeye ni mbunge wa kawaida huku akisema hawazuii watu kusema kile wanachokiongelea juu yake.
HARMORAPA KIINGEREZA NI UTATA!!!!!!
wimbo wake wa kiboko ya mabisho aliouimba na juma kiroboto a.k.a juma nature umemfanya aweze kutengeneza headline nyingi kwenye social media hasa kwenye mitandao kama youtube,instagram.alianza kiutani tu ila sasa anaendelea kufanya pouwa kwenye game ila jamaa anaugwanjwa mmoja tu kiingereza kwake bado ni tatizo hii imethibitika kwenye interview iliyofanyika na clouds ala za roho chini ya diva loveness'the boss lady'
SITOISAHAU STAGE YA TANGA DEC 25"HARMONIZE"
Kila mtu anakitu ambacho hata kisahau kwenye maisha ila harmonize hata isahau hii ya mara ya kwanza kwenye stage mkoani tanga kwani ndio ilikuwa mara yake ya kwanza kukutana na mashabiki zake wa Tanga tangu alipotoa wimbo wa haiyola
Subscribe to:
Posts (Atom)