Breaking news:Mwanza wajipanga kukabili ugonjwa wa ebola

ikiwa kama moja ya mikoa yenye vipaumbele vikubwa Tanzania kama vile ziwa victoria ambalo linawatalii wengi ambo wanapenda kuutembelea mkoa huu lakin hivi karibuni ugonjwa wa ebola unasemekana kuibuka katika nchi ya kongo hivyo basi kutokana na hali iinayoendelea nchi kongo ambayo inatenganishwa na mkoa wa mwanza kwa ziwa hili.mkoa huu umejipanga kukabiliana na ugonjwa huu kama maelezo ya mganga mkuu wa mkoa

No comments: