BREAKING NEWS:KAMPUNI YA RELI YAHAMISHIA OPERESHENI ZAO MOROGORO KWA MUDA

Kutokana na moja ya madaraja kukatika hasa lile la ruvu kukatika shirika la reli Tanzania limehamisha operetion zake kwa muda mkoa morogoro kutoka na hitilafu ambazo zimejitokeza.Akizungumza na vyombo vya habari kaimu wa idara ya masomo ya shirika la reli tanzania ndugu Shabani juma kiko amesema aabiri ambao walitakiwa wasafiri leo watasafirishwa na mabasi mpaka morogoro ambapo wataendelea na safari yao kama kawaida

No comments: