HARMORAPA KIINGEREZA NI UTATA!!!!!!

wimbo wake wa kiboko ya mabisho aliouimba na juma kiroboto a.k.a juma nature umemfanya aweze kutengeneza headline nyingi kwenye social media hasa kwenye mitandao kama youtube,instagram.alianza kiutani tu ila sasa anaendelea kufanya pouwa kwenye game ila jamaa anaugwanjwa mmoja tu kiingereza kwake bado ni tatizo hii imethibitika kwenye interview iliyofanyika na clouds ala za roho chini ya diva loveness'the boss lady'

No comments: