MADHARA YA MVUA MKOA WA DAR-ES-SALAAM

KWA KIASI KIKUBWA MVUA AMBAZO ZINAELEKEA KUKATIKA KATIKA KIPINDI HICHI CHA MWEZI MEI KIMELETA MADHARA MAKUBWA KWENYE MKOA WA DAR-ES SALAAM KWAN IMESADIKIKA KUWA NJIA NYINGI ZA JIJI HILI HAZIPITIKI KUTOKANA NA MAJI KUWA MENGI.
KUTOKANA NA KUTOKUWA NA MPANGILIO MZURI WA MJI HUU MAJI HAYA YAMESHA ANZA KUONYESHA MADHARA KWA MALI ZA WAKAZI WA MKOA HUU KWANI MALI KAMA MAGARI YAMEKUTWA YAKIWA KATIKA HALI MBAYA KUTOKANA NA KUSOMBWA NA MAJI NA KUPELEKWA UMBALI MREFU  KUTOKA SEHEMU AMBAYO YALIKUWA YAMEEGESHWA(PARKING).INASEMEKANA MVUA HIZI PIA ZINAWEZA KUSABABISHA MLIPUKO MWINGINE WA MAGONJWA HASA UGONJWA HATARI WA KIPINDUPINDU.
JAPOKUWA SERIKALI IKISHIRIKIANA NA UONGOZI WA JIJI HILI KUBWA LA DAR-ES-SALAAAM LIMEJITAHIDI SANA KUWATOA WANANCHI AMBAO WANAKAA MAENEO HATARISHI KAMA MAENEO YA JANGWANI NA KATIKA BONDE LA MSIMBAZI.NIPENDE KUWASISITIZA NDUGU ZANGU WANANCHI MNAOISHI KATIKA MAENEO HATARISHI MUHAME MARA MOJA KWANI MADHARA AMBAYO YATATOKEA YANAWEZA YAKAWA MAKUBWA.

No comments: