KUWA FUNDI WA MPIRA

NAJUA WENGI WETU MPIRA NDIO SEHEMU KUBWA YA BURUDANI BAADA YA ILE AMBAO ANAIPENDA SANA.HILO HALIPINGIKI KWA KIJANA AMBAYE AMECHEZEA MPIRA WA MAKARATASI(NAILONI) KAMA WENGI WANAVYOUITA.SASA NAKULETEA KWA UPENDO NILIONAO JUU YA NDOTO ZAKO ZA MPIRA
ZIJUE NJIA NA UJUZI AMBAO UNAWEZA KUUIGA KUTOKA KWA MANGULI WA SOKA DUNIANI KAMA CRISTIAN RONALDO WA REAL  MADRID LIONEL MESSI WA BARCELONA KWANI UWEZO WAO KWENYE MKEKA HAUPINGIKI.
SIKUZOTE MAJARIBIO YA KILA MUDA NDIO YANAMFANYA MTU AWE KAMILI HILO HALIPINGIKI KWANI HISTORIA YA MESSI AMBAYE ALIKUWA ANAWEKWA BENCHI NA MOJA WA STAA WA MPIRA DUNIANI  AMBAYE NI RONALDINHO GAUCHO.KWA SISI WABONGO WENGI WA WACHEZAJI HASA WA UMRI WA WASTANI HUPENDA KUSEMA NAPENDA NIWE KAMA MBWANA SAMATTA AMBAYE KWA SASA ANAIPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA VILIVYO KATIKA NCHI YA UBELIGIJI BASI NDIO MUDA WENU SASA CHUKUA UJUZI KWENYE CLIP HIYO NA UBADILI MAISHA YAKO

No comments: