HAWAKUBAHATISHA KWENDA GABON

ULIDHANI WALIKOSEA NJIA KWENDA GABON BASI UTAKUWA SIO MFUATILIAJI WA MICHEZO WA VIJANA HODARI WA TANZANIA(SERENGETI BOYS)AMBAO KWA SASA WANAIPEPERUSHA BENDERA YA NCHI HII YENYE AMANI AMBAYO WATU WENGI WANAILILIA KUIPATA.ULIDHANI WALIRUKA KAMA NDEGE NA KWENDA GABON? BASI UMEKOSEA.
KUPAMBANA  NA KUJITOLEA KWA AJILI YA TIMU NDIO KUMEIFANYA SERENGETI BOYS AMBAO WAKO UWANJANI SASA WAKIKIPIGA DHIDI YA MALI,WAMEPIGANA SANA WAMEJITOLEA KWA MOYO WAO WOTE KUHAKIKISHA WANAITETEA NJIA YAO NA KUFICHA AIBU AMBAYO ILIWAKUMBA KAKA ZAO WA TAIFA STARS.TUENDELEEE KUWAOMBEA WADOGO ZETU HAWA WAWEZE KULETA MATUNDA MEMA KATIKA NJIA HII YA TANZANIA.TUSHIRIKIANE KUWAFANIKISHA WA KUJITOLEA KWA HALI NA MALI ILI WATUPENDEZESHE

No comments: