HII NAYO IWE NI FUNDISHO KWA WAZAZI AMBAO WANAWAFUNGIA WATOTO WAO NDANI KISA NI ULEMAVU WALIONAO.
KUSEMA KWEL SERIKALI IMEJITAHIDI SANA KUPINGA MILA AMBAZO BADO ZINAPINGAN NA SERA YA ELIMU YA NCHI HII AMBAYO INAELEZEA KIUNDANI KUWA KILA MTOTO AMBAYE AMEFIKISHA MIAKA SABA NI LAZIMA APELEKWE SHULE BILA KUZINGATIA HALI ALIYONAYO.
NAPENDA KUMSHUKURU MHESHIMIWA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUENDELEA KUONYESHA NJIA KWA MAMILIONI YA WATOTO AMBAO WANAKOSA ELIMU KUTOKANA NA HALI NGUMU YA MAISHA AMEFUNGUA NJIA NA SASA TUNGANE KWA PAMOJA KUFUTILIA MBALI MILA HII YA KUWAFUNGIA WATOTO WALEMAVU NDANI KISA ULEMAVU WAO
No comments:
Post a Comment