KWA MVUA HIZI

MADHARA YA MVUA AMBAZO ZINAENDELEA KUNYESHA KATIKA MIKOA MBALI MBALI YA NCHI HII YA TANZANIA YAMEENDELEA KULETA MAAFA MAKUBWA KWANI SASA KWA MKOA WA TANGA BARABARA HAZIPITIKI KUTOKANA NA BARABARA KUJAA MAJI

No comments: