MAANDAMANO YA JUMLA YA KUMTOA RAIS NICOLAS MADURO WA VENEZUELA

HALI KATIKA NCHI YA VENEZUELA KWA SASA SIO SWARI TENA KWANI VIONGOZI WA UPINZANI WAENDELEA KUSHINIKIZA KUMWOONDOA RAIS NICOLAS MADURO.HALI HII IMESABABISHA MADUKA,MASHULE PAMOJA NA USAFIRI KUWA HAFIFU KATIKA MNCHI HII

No comments: