Jumuika na mimi kila saa uweze kupata taarifa mpya zinazojiri kila wakati
MAISHA YA WANYAMA KATIKA MBUGA YA SERENGETI
UKINIAMBIA SEHEMU AMBAZO ZINA MAAJABU MENGI DUNIANI NI SERENGETI KWANI MAISHA YA WANYAMA KATIKA MBUGA HII NI YA AJABU ZAIDI YA YALE AMABO UMEZOEA KUYAONA KATIKA MBUGA NYINGINE TANZANIA.KUTOKANA NA HALI HII NDIO KILICHO NIFANYA NISOGEZE MBUGA HII UWEZE KUJUA MBUGA HII INA MAAJABU MENGI KATIKA MAISHA YA WANYAMA WANOPATIKANA KATIKA MBUGA HII.WALE WANYAMA WATANO WA KUBWA UTAWAPA KIRAHISI KATIKA MBUGA YA SERENGETI FURAHIA KUANGALIA VIDEO HII
No comments:
Post a Comment