MAANDAMANO YA KUMPINGA RAIS WA VENEZUELA NICOLAS MADURO

MAELFU YA WAANDAMANAJI WAMEENDELEA KUJIUNGA  KATIKA BARABARA ZOTE  ZA NCHI YA VENEZUELA KUMPINGA RAIS WAO . HALI YA SASA KATIKA NCHI YA VENEZUELA BADO NI TETE KUTOKANA HA KUKOSEKANA KWA AMANI AMBAPO INAWEZA KUSABABISHA MAELFU YA WANANCHI KUYAKIMBIA  MAKAZI YAO

No comments: