ULIDHANI HAJUI KINGEREZA

 HOTUBA YA KIINGEREZA AMBAYO ALIISOMA MBELE RAIS WA AFRIKA KUSINI  ILIFUNGA MIDOMO YA WATU AMBAO WANADHANI KUWA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI HAJUI KIINGEREZA SASA KUTOKANA NA HOTUBA HIYO AMBAYO ILIKUWA IKILENGA ZAIDI UMOJA WA NCHI ZILIZO CHINI YA JANGWA LA SAHARA IMEWAFANYA KUNYAMAZA KIMYA KWA UTASHI NA USTADI WAKE WA KUKIONGEA KWA UFANISI

No comments: