POLISI ALIVYOFYATUA RISASI KWA WAZIRI MALIMA

Hali ya kutokuelewa baina ya aliyekuwa waziri wa fedha katika awamu ya nne chini ya uongozi wa rais Jakaya Mrisho Kikwete  mheshimiwa Adamu Malima  na polisi ilisababisha askari kufyatua risasi hewani ili kutoka watu ambao walikuwa wamekusanyika kushuhudia majibizan hayo.
Kosa kuu ni kuwa dereva aliyekuwa anandesha gari hiyo alikuwa amlipaki vibaya na pia gari hiyoo ilikutwa na hatia ya kutolipa kodi ndipo askari walipoagiza dereva alipeleke gari hilo yard ili hatua nyiingine ziweze kufanyika hasa ulipaji wa kodi hiyo.Ila baada ya mheshimiwa malima kukukataakupelek gari ndipo skari alipoamua kufanya maamuzi ya kuto mkusanyiko uliozunguka majibishano hayo na hatimaye kumchukua mcheshima adam malima mpaka kwenye kituao cha polisi kwa maelezo zaidi  na makosa ambayo amefanya

No comments: