Jumuika na mimi kila saa uweze kupata taarifa mpya zinazojiri kila wakati
BREAKING NEWZ:RAYVANNY AZINDUA WIMBO WAKE MPYA- ZEZETA
SHIK FUNGUO GARI YA BOSI WANGU KWAKO ZEZETA ZEZETA NI MOJA YA MISTARI ILIYOPO KWENYE WIMBO MPYA WA MSANII ALIYEKO KWENYE LEBO YA WASAFI CLASSIC CHINI YA CHIBU DAANGOTE.WIMBO WA ZEZETA UNAENDELEA KUMPA RAYVANNY NAFASI YA KUTENGENEZA NJIA YA YEYE KUTUSUA KIMATAIFA ZAIDI;WOTE TUMSUPPORT RAY AFIKE MBALI
No comments:
Post a Comment