BURUDIKA NA MISTARI YA WIMBO WA DARASA-HASARA ROHO

Ukizungumzia marapa ambao wanafanya viuri katika kiwanda cha sanaa kwa sasa huwezi acha kumweka kwenye list hii Darasa mabaye bada ya kufanya hit kali  na wimbo wake wa mzuki sasa habari ya mjini kwa sasa ni hasara roho.baada ya kujua kuwa wewe unpenda nyimbo za darasa hebu jifunze kuimba kama yenye kwa kufuata mistari aliyoiandika.tizama na ufurahie

No comments: