MJUE MZEE ZAIDI DUNIANI KUTOKEA TANZANIA

Mzee Ambilikile Panja amabye ni mkazi wa majengo  katika kata ya Ihanga akiri kuwa yeye ndie mzee zaidi kuwepo duniani.akiisimulia hii anasema yeye alikuwepo katika vita vya maji maji ambavyo kihistoria vilitokea mnamo miaka ya 1906 miaka 1907.

No comments: