Jumuika na mimi kila saa uweze kupata taarifa mpya zinazojiri kila wakati
HONGERA ARUSHA
HONGERA ARUSHA.Ni neno ambalo linaelezea mafanikio ambayo jiji la arusha limefanikiwa chini ya meya wa jiji hilo kwa kulifanya jiji liwe katika hali ya usafiukitofautisha na majiji mengine ambayo yako katikanchi ya Tanzania
No comments:
Post a Comment