JE! UNGEPENDA KUFUGA MBWA
 
Basi kaa karibu na blog hii uweze kujua tabia mbalimbali za mnyama huyu mdogo na mzuri kwa kumwona na jinsi anavyo hakikisha ulinzi ndani ya nyumba yako na mazingira yanoato mzunguka.japo kuwa ni mdogo kwa umbo ambalo sio sawa namaumbo mengine ya walinzi ambao wanalinda nyumba kwa ajili ya usingizi salama pamoja na hali salama ya nyumba na mali.
ZIFUATAZO NI TABIA ZA MNYAMA HUYU
1.kwanza ni mtaratibu na mpole kwan siye mgomvi kama wanyama wengine ambao wapo dunian,je busa na utaratibu wake humfanya awe mnyama mwenye akili ya kugundua yupi ni mwema na yupi ni mbaya pale tu anapomtizama yule aliyeko mbele yake.

2.muelewa;
 kwa namna fulani huwezi kujua kua ni muelewa kama hutakuwa mtizamaji mzuri wa tabia na matendo anayoyafanya mbele yako.Mbwa ni mwelewa kwan yeye anapenda kuwa na urafiki mzuri na binadamu.hupenda kuwa karibu na aliyemzoea 
 ungependa kujua  tabia zake nyingine basi nifuatilie zaidi kwenye blog hiii 
asante 

No comments: