MCHINA ATAMBA BONGO KWA MATOKEO BORA

Unawezekana ukastajabu kwa hili  ila ndio imeshatokea mdada kutoka katika nchi ya china ambaye amekuja kwenye  ardhi ya Tanzaniana kufanya viuzuri katika matokeo yake.kwa kiasi kikubwa lazima tujiulize kwa nini mtu kutoka nje aongoze katika matokeo na wazawa washindwe

No comments: