Christina Shusho kuhusu vazi la Jeans...ni sahihi kwa waliookoka?

Moja ya story kubwa ambayo inaendelea kuwa gumzo na ku-make headlines kwa kuibua mijadala sehemu mbali ni kuhusu mavazi ya jeans kwa waliookoka ambapo licha ya elimu kutolewa limeonekana kuwa gumu kwa baadhi ya watu.
Ayo TV na millardayo.com zimekutana na Mwimbaji staa wa Injili Tanzania, Christina Shusho ambaye anaeleza kama ni sahihi au sio sahihi kwa waliookoka kuvaa vazi la Jeans.

No comments: