Mdee, Bulaya wafungiwa mwaka mmoja kwa kumdharau Spika

Bunge limepitisha azimio la Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge ikiwa ni pamoja na kupitisha hoja ya kubadilisha azimio hilo lililotolewa na Mbunge wa Vitimaalum Juliana Shonza azimio lililowataka wabunge Ester Bulaya na Halima Mdee kutohudhuria vikao vyote vya Bunge vilivyobaki vya mkutano wa saba wa bunge la bajeti, Mkutano wote wa nane wa bunge na mkutano wote wa tisa wa bunge

No comments: