"Unaweza kuzaliwa Masikini lakini kufa Masikini ni kujitakia" – Mavunde

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu Anthony Mavunde ametoa wito kwa vijana wa kitanzania kuwa wabunifu bila kujali ni wakati gani na changamoto zipi wanazipitia na wasikubali kukatishwa tamaa ili kujiwekea mikakati ya kufikia malengo yao.

No comments: