Jumuika na mimi kila saa uweze kupata taarifa mpya zinazojiri kila wakati
UKOMANDOO SIO KAZI NDOGO
Amini vipo ndio neno ambao limenifanya nishangae na kujiona niko tofauti na hawa jamaa.mungu ameumba ila kunawengine unaweza kusema wameshushwa.hebu shuhudia hili kwenye video hii ambayo imekuwa na maajabu mengi ni hii ya makomando hawa wa JWTZ
No comments:
Post a Comment