WALIMUTUANGALIE AZABU TUNAZOTOA KWA WANAFUNZI

Htukatai kuwa adhabu kwa mwanafunzi aliyekiuka sheria asipewe adhabu ila adhabu nyingine zinaweza kuwa zenye madhara kwa wanafunzi.mwalimu huko mbeya baada ya kumwadhibu mwanafunzi aliona haitoshi akaenda kumfungia kwenye chumba cha kuifadhia vitu na kuondoka ambapo ilisababisha kupoteza maisha kwa mwanafunzi huyo.ADHABU HATUKATAI ILA TUANGALIE KIPIMO CHA ADHABU ZENU

No comments: