2020 huenda hakuna Uchaguzi Mkuu, Magufuli azidi kujisafishia njia

Dr Rwakatare alivyo msaidia Mch.Anthony Lusekelo Milioni moja....

Kundi la watu lavamia Kanisa na kulibomoa, Mwanza...kisa?

Published on Jun 28, 2017
Moja ya story ambayo ina-make headlines kutoka Mwanza ni kuhusu uvamizi wa Kanisa la EAGT City Center la Mkuyuni Mwanza uliofanywa na kundi la watu saa 11 alfajir na kulibomoa. Ayo TV imempata Mama mlezi wa Kanisa hilo na anaelezea zaidi..

Diamond Platnumz baada ya Rayvanny kushinda BET

Staa wa Bongo Flava, Rayvanny kutoka WCB ameshinda tuzo ya BET kipengele cha Viewers Choice Best New International Act Artist, Sasa leo June 25, 2017 Ayo TV na millardayo.com imempata Diamond Platnumz na kuzungumza kuhusu ushindi wa Rayvanny.

Diamond Platnumz baada ya Rayvanny kushinda BET

Staa wa Bongo Flava, Rayvanny kutoka WCB ameshinda tuzo ya BET kipengele cha Viewers Choice Best New International Act Artist, Sasa leo June 25, 2017 Ayo TV na millardayo.com imempata Diamond Platnumz na kuzungumza kuhusu ushindi wa Rayvanny.

MC Pilipili Daah, Usipocheka kwa Kutazama Hii Basi Utakuwa na Tatizo

Msanii mahiri wa vichekesho vya jukwaani (stand-up comedy), MC Pilipili, Sikukuu ya Eid aliwavunja mbavu mashabiki waliohudhuria kwenye event maalum iitwayo Eid Comedy Galla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa King Solomon jijini Dar, usiku wa Eid Mo

Breaking News: Maalim Seif Aishutumu RITA Kusajili Wajumbe Feki wa Bodi,...

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif ameishutumu Wakala wa Usajili, Mufirisi na Udhamini (RITA) kwa kusajili Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa CUF ambao amedao kuwa ni wajumbe feki waliotangazwa hivi karibuni na chama hicho upande wa Prof. Ibrahim Lipumba.

RITA imesajili wajumbe 'feki' wa Bodi ya Wadhamini ya CUF, hizo ni njama chafu za kuua bodi halali iliyokilinda chama. Maalim Seif.

Maalim Seif asema RITA walishinikizwa kusajili bodi feki kwa kutumia nyaraka za kughushi ili Lipumba apate uhalali wa kumuondoa madarakani.
#Global TV Online, kwa kushirikiana na TB

Breaking News: Maalim Seif Aishutumu RITA Kusajili Wajumbe Feki wa Bodi,...

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif ameishutumu Wakala wa Usajili, Mufirisi na Udhamini (RITA) kwa kusajili Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa CUF ambao amedao kuwa ni wajumbe feki waliotangazwa hivi karibuni na chama hicho upande wa Prof. Ibrahim Lipumba.

RITA imesajili wajumbe 'feki' wa Bodi ya Wadhamini ya CUF, hizo ni njama chafu za kuua bodi halali iliyokilinda chama. Maalim Seif.

Maalim Seif asema RITA walishinikizwa kusajili bodi feki kwa kutumia nyaraka za kughushi ili Lipumba apate uhalali wa kumuondoa madarakani.
#Global TV Online, kwa kushirikiana na TB

Breaking News: Maalim Seif Aishutumu RITA Kusajili Wajumbe Feki wa Bodi,...

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif ameishutumu Wakala wa Usajili, Mufirisi na Udhamini (RITA) kwa kusajili Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa CUF ambao amedao kuwa ni wajumbe feki waliotangazwa hivi karibuni na chama hicho upande wa Prof. Ibrahim Lipumba.

RITA imesajili wajumbe 'feki' wa Bodi ya Wadhamini ya CUF, hizo ni njama chafu za kuua bodi halali iliyokilinda chama. Maalim Seif.

Maalim Seif asema RITA walishinikizwa kusajili bodi feki kwa kutumia nyaraka za kughushi ili Lipumba apate uhalali wa kumuondoa madarakani.
#Global TV Online, kwa kushirikiana na TB

Diamond Platnumz Part 2 'Nilitoa Millioni 10 kumnunulia gari Q Boy (aele...

Mr Universe, Matukio Chuma Atua Bongo, Ashusha Somo kwa Vijana

Mr Universe Tanzania mwaka 2002, Matukio Chuma, amewataka vijana wa Kitanzania kutumia fursa mbalimbali zinazojitokeza ndani na nje ya nchi kuliko kubaki wakilalamika.
Chuma ameyasema hayo, wakati akizungumza na wanahabari kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere muda mfupi baada ya kuwasili akitokea Marekani anakofanyia shughuli zake za uandishi wa vitabu, mashairi, ujasiriamali na uhamasishaji.
“Nashukuru kwa moyo waliouonesha baadhi ya marafiki na ndugu zangu kuja kunipokea. Ushauri na kilio changu kwa vijana wa Kitanzania ni kuthubutu kutumia fursa mbalimbali ambazo zimekuwa zikitangazwa dunianikama ambavyo mimi nilithubutu na ninaendelea kuthubutu,” alisema Chuma.

Usain Bolt ajitayarisha kustahafu Ogusti,2017



Mwanariadha mashuhuri Usain Bolt bingwa wa dunia wa mita 100 na 200, ameanza kuwaaga mashabiki wake kabla ya kustahafu wakati wa mashindano ya riadha duniani mjini London Ogusti 5 hadi Ogusti 13, 2017.

Saudi Arabia yabadili safu ya urithi wa kiti cha Ufalme

Mmoroco mwenye umri wa miaka 36 ametajwa kuwa mshukiwa alieripua begi lililojaa misumari na chupa za gesi katika kituo kikuu cha treni mjini Brussels, Ubelgiji.Mawaziri wengine wa serikali ya rais Emmanuel Macron wamejiuzulu nchini Ufaransa. Waziri wa sheria Francoise Bayrou na wa masuala ya Ulaya Marielle de Sarnez wamejiuzulu ili kutoa nafasi kwa rais Macron kusafisha siasa za Ufaransa.Mfalme wa Saudi Arabia Salman amefanya mabadiliko katika safu ya warithi wa kiti cha ufalme na kumteuwa mwanae Mohammed bin Salman aliekuwa naibu mrithi wa kiti hicho kuwa mrithi kamili.

Mtanzania wa kwanza kulipiwa ada ya milioni 365 kusoma Marekani

Ni Mtanzania wa kwanza kupata udhamini wa masomo (Scholarship) ya heshima kusoma chuo kikuu cha biashara Marekani Stanford Graduate School of Business ya dola 160,000 ambazo ni zaidi ya milioni 365 za Tanzania.

Kufungwa kwa Mtanzania Uingereza, Sheria inasemaje?

Siku chache baada ya kuwepo kwa taarifa za Mtanzania Omega Mwaikambo ambaye anaishi Uingereza kuhukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela nchini humo kwa kupost kwenye Facebook mabaki ya mtu aliyeungua moto kwenye ajali ya moto ulioteketeza ghorofa la Grenfell Tower Ayo TV imemtafuta Jebra Kambole ambaye ni Wakili wa kujitegemea ili kufafanua zaidi juu ya tukio hilo kulingana na sheria…

Gigy Money - Wema Sepetu Hana Uzuri Wowote, Amber Lulu Anajichubua, Rich...

Teknorojia Ya Kwanza Kuchota Maji Kwa Kadi

FULL VIDEO: Mbunge wa Ukonga Waitara alivyotolewa Bungeni

Mabeste, Lisa na mastaa wa nje kuutangaza Utalii wa Tanzania



Mwimbaji kutoka Bongoflevani Mabeste na mke wake Lisa 'Mama Kedrick' wameelezea mipango yao kuhakikisha wanakuwa sehemu ya kuutangaza Utalii wa Tanzania hasa baada ya siku za hivi karibuni kushuhudia mastaa kadhaa wa soka Duniani wakitembelea Tanzania ambapo kupitia project ya PIGA KAMBI wana mpango wa kuwaleta mastaa wakubwa kama Beyonce na Rihanna ili kuutangaza Utalii.

Dokii Afunguka Mahusiano Yake na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta


MCL Matukio: Utafiti wa Twaweza waonesha idadi ya wanaomkubali JPM, cham...


Afya Microfinance Project Inavyonufaisha Sekta za Afya Vijijini

Afya Microfinance Project kwa udhamini wa UK AID wameamua kutoa misaada kwa wakazi wa vijijini ambao wamekuwa wakisumbuliwa na hata kupoteza maisha kwa ugonjwa wa Malaria, Je, ungependa kujua ni kwa njia gani misaada hiyo inatolewa? itazame video hii mpaka mwisho kujionea mwenyewe

Mshindi wa Quran Tukufu Africa


Mashindano makubwa ya Afrika ya kuhifadhi na kusoma Quran Tukufu yaliyokuwa yakifanyika tangu Uwanja wa Taifa tangu asubuhi, yamemalizika kwa washiriki kumaliza kusoma, ikisubiriwa majaji kumtangaza mshindi

BREAKING: Ajali ya basi imeua watu watatu Hydom Manyara leo

Watu watatu wamefariki dunia na wengine 27 kujeruhiwa baada ya basi la Harmandos kukatika Steering Road na kutumbukia darajani, huko Haydom Mbulu.

Hekaheka iliyotokea mbele ya Makamu wa Rais leo June 16, 2017

June 16, 2017 imetokea Viwanja vya Shule ya Msingi Kinyerezi kwenye Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyika Wilaya ya Ilala ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan.

Hekaheka iliyotokea mbele ya Makamu wa Rais leo June 16, 2017

June 16, 2017 imetokea Viwanja vya Shule ya Msingi Kinyerezi kwenye Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyika Wilaya ya Ilala ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan.

Suala la nchi za guba na Qatar

Steve RNB afunguka kuhusu ukimya wake, ujio mpya

Mwimbaji staa wa RNB Tanzania ambaye alikuwa kimya kwa muda mrefu Steve RnB amekaa kwenye EXCLUSIVE interview ya Ayo TV na millardayo.com na kueleza ni kwa nini amekuwa kimya kwenye muziki, changamoto alizopitia kwenye ndoa hadi kuachana na mkewe pamoja na safari za nje.

"Hawa wapinzani hawaeleweki kama Popo" – Ulega

Baada ya Rais JPM kukutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick ya Canada Prof. John L. Thorton kitendo hiko kimepongezwa ambapo miongoni mwa waliotoa pongezi kwa JPM ni Mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega ambaye amemwagia sifa kwa kitendo hiko.

Wizara Ya Elimu Kujenga Vyou vya Veta Kagera - Eng. Stella Martin Manyanya

Jason Derulo X Ray Vanny Live Performance Nairobi

Mwanamziki jason derulo ameshangazwa na kipaji alichonacho msanii kutoka kwenye lebo ya wasafi classic ray vanny kwa uwezo wake jukwaani

Rich Mavoko: Ay Ndio Alinisaidia Kuingia WCB, Stereo anaweza Akawa Msani...

Good News ya Fifa iliyoufikia Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza

Uwanja wa michezo wa CCM Kirumba uliopo Mwanza umepewa hadhi ya kuwa Uwanja wa Kimataifa na tayari Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA limeagiza maboresho ndani ya Vyumba vya kubadilishia nguo… Ayo TV na millardayo.com zimempta Katibu wa CCM Mwanza Raymond Mwangwala ambaye pamoja na mambo mengine ameelezea deni la Simba SC na Yanga SC.

BREAKING: ACACIA wamekubali kulipa pesa yote waliyoiibia TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na waandishi wa habari baada ya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Prof. John L. Thornton alipofika Ikulu kwa Mazungumzo June 14, 2017

"Watoto wa kike wananyanyaswa, wanabakwa" – Dr. Jasmine

Mjadala wa kuchangia mapendekezo katika Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18 ambapo miongoni mwa waliopata nafasi hiyo leo June 15, 2017 ni Mbunge wa Vyuo Vikuu Dr. Jasmine Bunga ambaye alilieleza Bunge baadhi ya changamoto ambazo zinawakabili Wanawake na watoto kwa ukosefu wa maji ikiwa ni pamoja na matukio ya kubakwa mara kwa mara…

Mwana FA na Mrisho Mpoto Watoa Neno Zito Kuhusu Ripoti ya Mchanga wa Mad...

Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva na filamu, ni miongoni mwa wageni walioalikwa Ikulu wakati mheshimiwa Rais akikabidhiwa ripoti ya kamati ya mchanga wa madini na Tume ya Profesa Ossoro ambapo mbali na kutumbuiza, pia walipata nafasi ya kutoa maoni yao kuhusu ripoti hiyo.
Kwa upande wake, Mwana FA anayesumbua na ngoma yake ya Dume Suruali, alisema ripoti ya kamati ya pili, imetoa mwanga wa nini cha kufanya katika suala zima la kisheria, ikiwa ni mwendelezo wa kile kilichogundulika na kamati ya kwanza.
Mwana FA alisema Watanzania wote tunapaswa kuwa wazalendo na kumuunga mkono mheshimiwa rais badala ya kuendelea kutishana mitaani kwamba nchi itashtakiwa, wafadhili wataacha kuleta misaada.
Kwa upande wa Mrisho Mpoto, naye aliwataka Watanzania kuwa na umoja na uzalendo na kumuunga mkono mheshimiwa rais kwani kama ataendeleza msimamo huu, Tanzania Mpya, ya maziwa na asali ikiwadia hata kama itakuwa watakaofaidi ni vizazi vijavyo.

Ally Hapi: Kinondoni Siyo Wilaya ya Mashamba Tena

UTATUZI MIGOGORO YA ARDHI KINONDONI WASHIKA KASI
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Hapi ameendelea na juhudi za utatuzi wa migogoro mikubwa ya ardhi ambayo inahusisha wananchi wengi na wenye mashamba.
Hapi ameendelea na vikao mbalimbali vya utatuzi ambapo leo amefanya kikao na wananchi wa maeneo ya Kinondo, Dovya na Mbopo na kuwaahidi kuwa serikali imejipanga vema kumaliza mgogoro huo ili wananchi waishi kwa amani.

Hapi ameelezea dira ya wilaya yake kuwa ni kuhakikisha mashamba yote yanapimwa na kuwa viwanja ili kuweka mpango bora wa matumizi ya ardhi na kukomesha uvamizi wa ardhi uliochochewa na wenye mashamba ama kuyatelekeza mashamba yao kwa muda mrefu au kushindwa kumudu kuyaendeleza. Baada ya upimaji kila mwenye viwanja atalazimika kuwa ameviendeleza ndani ya muda maalum ili kuepusha migogoro.
Migogoro mingine mikubwa inayoendelea kutatuliwa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ni pamoja na TBA Mabwepande na Nyakasangwe ambao sasa umefikia hatua ya upimaji viwanja.

Mmiliki wa Migodi ya Acacia Uso kwa Uso na Rais Magufuli Ikulu, Akubali ...

Siku chache baada ya Rais John Pombe Magufuli kukabidhiwa ripoti ya kamati ya kuchunguza mchanga wa madini na kubaini kwamba kampuni ya Acacia ilikuwa ikifanya kazi zake nchini bila kuwa na vibali na ilikuwa ikisafirisha mchanga huo wa madini kinyume cha sheria, mmiliki wa migodi hiyo amemuibukia rais Magufuli Ikulu.

Breaking News: Wamekubali kulipa Pesa zetu za Madini - Magufuli amethibi...

Wamiliki wa Kampuni ya ACACIA wakubali kulipa pesa za Tanzania baada ya Mazungumzo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ambayo ni mmiliki mkubwa wa kampuni ya Acacia Mining Limited Prof. John L. Thornton na kukubaliana kuwa kampuni hiyo ipo tayari kufanya mazungumzo na Serikali ya Tanzania ili kulipa fedha ambazo Tanzania imezipoteza kutokana na kampuni hiyo kuendesha shughuli zake hapa nchini.

Prof. John L. Thornton ambaye amesafiri kwa ndege binafsi kutoka nchini Canada hadi Tanzania amekutana na Mhe. Rais Magufuli leo Juni 14, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam na mazungumzo yao yamehudhuriwa na Balozi wa Canada hapa nchini Mhe. Ian Myles na Waziri wa Sheria na Katiba Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi.

Baada ya Mazungumzo hayo Prof. John L. Thornton amesema kampuni yake ipo tayari kufanya mazungumzo na Tanzania yatakayozingatia maslahi ya pande zote mbili na pia ipo tayari kulipa fedha zote ambazo inapaswa kulipa kwa Tanzania.

Kwa upande wake Mhe. Rais Magufuli amesema Serikali inakaribisha mazungumzo hayo na itaunda jopo la wataalamu watakaofanya majadiliano na kampuni ya Barrick Gold Corporation ili kufikia makubaliano ya kulipwa fedha zinazodaiwa na namna kampuni hiyo itakavyoendesha shughuli zake nchini maslahi ya pande zote mbili.

Mhe. Rais Magufuli amesema pamoja na kukubali kulipa fedha zinazodaiwa Prof. John L. Thornton amekubali kushirikiana na Tanzania kujenga mtambo wa kuchenjulia dhahabu (smelter) hapa nchini.

Wakati huo huo, Mhe. Rais Magufuli amevionya vyombo vya habari vinavyowataja Marais wastaafu Mhe. Benjamin William Mkapa na Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete na kuwahusisha na taarifa za kamati mbili za uchunguzi wa madini yaliyo katika makontena yenye mchanga wa madini (Makinikia) ambao ripoti zimekabidhiwa kwake na kamati hizo.

“Nimesoma ripoti zote mbili hakuna mahali ambapo Mzee Mkapa na Mzee Kikwete wametajwa, vyombo vya habari viache kuwachafua hawa wazee, wamefanya kazi kubwa ya kulitumikia Taifa letu, viwaache wapumzike” amesema Mhe. Rais Magufuli.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
14 Juni, 2017

Msichana Mtanzania aliyeshinda Dollar 500 kupitia Facebook

Story kubwa kutoka Mwanza leo June 14, 2017 ni kuhusu msichana Paulina Robart mwenye umri wa miaka 18 aliyeshinda Dollar 500 za Marekani baada ya kuandika wazo kuhusu Afya ya Uzazi kupitia Facebook. Ayo TV na millardayo.com zinaye katika EXCLUSIVE Interview na amefunguka zaidi..

Beka Afunguka ukweli kuhusu Aslay kuwasaliti, Asema Mkubwa Fella hajawag...

Habari za kuvunjika kwa Bendi ya Yamoto, zinazidi kuzagaa lakini habari mpya ni kwamba, miongoni mwa memba wa kundi hilo, Beka One amefunguka kwa kirefu kuhusu maelezo hayo.
Miongoni mwa mambo aliyoyazungumza Beka One, kama ilivyo kwa memba wengine wa kundi hilo, ameendelea kukataa kwamba bendi hiyo haijafa isipokuwa wameamua kufanya kazi mmojammoja baada ya kujiona wamekua.
Beka amekanusha pia madai kwamba Said Fella amewajengea nyumba na kueleza kuwa kwa sasa wanaishi Tabata jijini Dar wote watatu isipokuwa Aslay.
Kuhusu suala la kwamba walikubaliana waondoke Yamoto band kwa sababu maslahi yalikuwa madogo, amekanusha suala hilo na pia kuhusu suala la mwenzao, Aslay kuwageuka na kurudi kufanya kazi na Mkubwa Fella, kwamba pia si kweli.
Yamekuwepo maneno mengi mitaani kuhusu kusambaratika kwa bendi hiyo kwa kile kilichoelezwa kwamba ni wasanii hao kuchoshwa na unyonyaji wanaofanyiwa na uongozi wao lakini si wanamuziki hao wala viongozi wao waliowahi kutamka hadharani kwamba bendi hiyo imekufa.

Kutana naye mtengenezaji programu tumishi mdogo zaidi.

People say you can't live without love....

People say you can't live without love....

Hekima za mwalimu Nyerere kuhusu Africa

Wananchi wakataa utafiti wa madini wakitaka washirikishwe tathmini ya ma...

Rai ya JPM yabadili muelekeo Makampuni ya miamala ya Fedha


Story ambayo inatrend kwa sasa kwenye mitandao mbalimbali ni baada ya Rais JPM kutoa rai kwa Makampuni ya Miamala ya Fedha ikiwemo mitandao ya simu na Mabenki kuharakisha uuzaji wa hisa 25% katika hisa zao kwenye Soko la Hisa DSM. Ayo TV na millardayo.com zimefanikiwa kutembelea moja ya ofisi za Maxcom Africa ambayo imebadili jina na sasa inaitwa Maxcom Africa PLC baada ya kauli ya JPM

Cleveland, Steph Curry and 2017 NBA...

France vs England 3-2 - Highlights & Goals - 13 June 2017

NEW SONG:Stereo ft Richmavoko - Mpe Habari

Official Msanii wa Hip Hop Stereo kusainiwa WCB mcheki hapa akifunguka

LIVE: Wema Sepetu na Gabo Wazindua Filamu Yao Mpya -KISOGO

LISSU ATAKA KIKWETE NA MKAPA WAKAMATWE KESI YA MADINI

update:Lowassa afunguka, ampongeza Rais Magufuli kuhusu ripoti ya Madini

Siku moja baada ya Rais Magufuli kupokea ripoti ya Kamati ya Uchunguzi wa madini yaliyo kwenye makontena yenye mchanga unaosafirishwa nje ya nchi lee June 13, 2017 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Edward Lowassa amekutana na wandishi wa Habari na kutoa ushauri kuhusu ripoti hiyo

update:Lowassa afunguka, ampongeza Rais Magufuli kuhusu ripoti ya Madini

Siku moja baada ya Rais Magufuli kupokea ripoti ya Kamati ya Uchunguzi wa madini yaliyo kwenye makontena yenye mchanga unaosafirishwa nje ya nchi lee June 13, 2017 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Edward Lowassa amekutana na wandishi wa Habari na kutoa ushauri kuhusu ripoti hiyo

NGELEJA ASEMA HAYA BAADA YA KUTAJWA KWENYE KUSAINI MIKTABA MIBOVU

aliyekuwa waziri wa nishati na madini mheshimiwa william ngeleja asema maneno haya baada ya yeye kuhusiswa kwenye kashifa ya kusaini mikataba mibovu ya madini.ikumbukwe mhishimiwa ngeleja alikuwa waziri wa nishati na madini wakati wa kipindi cha rais jakaya kikwete

Lissu afunguka kuhusu madini 'Mungu anasikia.. mtaniambia'


Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ni niongoni mwa waliopata nafasi ya kusimama Bungeni leo June 13, 2017 kuchangia mapendekezo yake katika bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2017/18 na haya ndio aliyozungumza.inaonekana bado swala la madini linatawala vichwa vya habari.......

10 Most Expensive Airports In Africa 2017

Uvutaji hatari wa sigara



Wakati mwingine uvutaji sigara usio wa uwajibikaji unaweza kusababisha maafa makubwa.

Mawe ya Volkano nishati mbadala

Matumizi wa ya mawe ya volkano kama nishati mbadala ni ufumbuzi unaotarajiwa kupunguza kasi ya ukataji miti kwa ajili ya kuni na mkaa. Mwandishi Emmanuel Lubega kutoka Kampala katuandalia vidio ifuatayo.

Mtoto wa Gaddafi kushiriki maridhiano Libya

Chama cha rais Emmanuel Macron wa Ufaransa chaibuka na ushindi katika uchaguzi wa bunge. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel kukutana na viongozi wa Afrika Berlin. Na mtoto wa kiume wa Gaddafi kushiriki maridhiano ya Libya. Papo kwa Papo 12.05.2017

WAFAHAMU MASTAA HAWA WATANO WALIOWAHI KUBAKWA

Maisha ni safari ndefu sana kila mmoja kuna wakati hupitia matukio mazuri au mabaya. Na changamoto za maisha wakati mwingine huletwa na sisi binadamu wenyewe, ukosefu wa utu na maadili mema yanapelekea kutokea matendo mengi.

Leo kwenye kipindi maalum cha Global TV Online nimekuandalia simulizi fupi ya ukweli ya mastaa watano kutoka tasnia ya burudani Tanzania waliowahi kubakwa.

Ndani yupo Irene Uwoya, Kidoa, Sanchi, Shilole na wengine hawa kwa leo wanaikamilisha simulizi hii fupi ya mastaa waliowahi kubakwa.

YUSUF MANJI AREJEA RASMI YANGA AWAVUTA ABDALLAH BIN CLEB, SEIF MAGARI KU...

Mara baada ya Klabu ya Yanga kutangaya kuwa imeanyisha utaratibu wa wanachama wake kuwachangia fedha , upande wa pili wapinyani wao Simba Sc wakaanya kuongea huku wakiwacheka kuwa eti wameishiwa, sasa hahari njema kwa wanajangwani hao ni kuwa Matajiri watatu wenye uwezo kurudisha Klabu hizo katika hadhi za kimataifa Wamerejea. Matajiri hao wakiongoywa na Zusuf Manji ni pamoja na Abdallah Bin Cleb na Seif Ahmed Magari. viongoyi hao tazari wamekisafirisha kwa Ndege kikosi cha Yanga SC chenze jumla za wacheyaji ishirini na mbili kwenda Mwanya Kucheza nusu fainali kombe la FA.

Manula Afungukia Sababu za Kuondoka Azam FC



Aliyekuwa mlinda lango wa Azam FC Manula ameondoka azam FC kutokana na uongozi kutothamini uwezo wake

Saida Kalori arudi kivingine kushirikiana na Diamond,Bell 9 na Darassa

Mwanamuziki mkongwe wa nyimbo za asili nchinI Tanzania Saida Kalori ameamua kurudi upya ,Baada ya kuona Wanamuziki wa bongo fleva wanakopi nyimbo zake bila ya yeye kufaidika na chochote ,Kwa sasa ametoa nyimbo yake inayoitwa "O'RUGAMBO"

Kufutwa Kodi ya Magari, Kuongezeka Bajeti, Wizi wa Madini, Watanzania Na...

Mbunge wa Kakonko, Kasuku Bilago amecharuka bungeni ambapo amehoji ni nani aliyewaroga Watanzania mpaka wanafikia hatua ya kufanya mambo ya ajabu wakiongozwa na wabunge wao?
Bilago alikuwa akichangia bajeti ya serikali bungeni ambapo alilaani vikali kitendo cha serikali kufuta kodi ya magari (motor vehicle license) na kuihamishia kwenye mafuta, kwani kitendo hicho ni sawa na kumuongezea mzigo mzito mwananchi wa kawaida na kusababisha maisha yazidi kuwa magumu.

IJUE Kazi mpya ya Jakaya Kikwete Baada ya Kustaafu

Rais Mstaafu wa awamu ya nne mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kazini,

GOOD NEWZ: LISSU AMUUNGA MKONO MAGUFULI REPOTI YA 2 KWA MASHART HAYA....

MANENO MAZITO ALIYOYASEMA M.BUTIKU IKULU YAMLIZA JPM KATIKA REPOTI YA 2 ...

BUNGE LA BAJETI 2017/18: WABUNGE WAZIKOMALIA SHILINGI 40 ZA ROAD LICENSE

Wabunge kadhaa wameitaka serikali kutumia shilingi arobaini zilizowekwa kwenye tozo ya mafuta kuboresha huduma za maji mijini na vijijini

Kisa cha majibizano ya Diamond Platnumz na Zari kwenye mtandao

Katika stori zinazotrend kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na majibizano kati ya Diamond Platnumz na Zari kwenye Instagram baada ya Diamond kupost picha ya Zari akiwa kwenye swimming pool na mwanaume mwingine na kuonyeshwa kukasirika na baadae Zari akajibu

Jionee Harmonize na Mzungu wake wakila bata Marekani

Gwajima Anunua HELKOPTA ya Kijeshi , kubwa kuliko zote Africa

Breaking Newz: HAWA NDO VIGOGO WALOSAINI MIKATABA YA MADINI WATAJWA WALO...

UWAMUZI WA MAGUFULI NA HATUA ATAKAZOZICHUKA KWA REPOTI YA 2 YA MADINI - ...

Bajeti ya Tanzania kwa mwaka wa fedha 2017

BBC SOMALI TV BULLETIN 09.06.2017

HATARI: SAKATA LA UCHAWI BUNGENI

UPINZANI WAIGOMEA TENA BAJETI KUU YA SERIKALI

RIPOTI YA MCHANGA II: Alichokisema Rais Magufuli Baada ya Kukabidhiwa, I...

Ripoti ya pili ya mchanga wa madini, imewasilishwa mbele ya Rais John Pombe Magufuli na mwenyekiti wa kamati hiyo, Nehemia Eliachim Ossoro ambapo rais ameonesha kuhuzunishwa sana na kukasirishwa mno na kilichomo kwenye ripoti hiyo.
Ripoti ya kamati hiyo, inakuja siku chache baada ya kamati ya kwanza iliyoongozwa na Profesa Mruma, nayo kukabidhiwa kwa mheshimiwa Rais, ikionesha ubadhirifu mkubwa wa rasilimali za taifa, katika sekta ya madini nchini

Agizo la JPM kwa Spika Ndugai baada ya kupokea Ripoti ya Pili

Baada ya kupokea Ripoti ya Pili ya mchanga wa madini Ikulu leo June 12, 2017 Rais Magufuli ametoa agizo kwa Spika wa Bunge Job Ndugai kuwashughulikia Wabunge ambao hawaoneshi nidhamu kuheshimu Bunge…

Wakati Ushuru Magari Umefutwa Bei Ya MaFuta Na Vinjwaji Vyapaa Juu

Kitu RC Mgwhira ameahidi alipowasili Ofisi za CCM Kilimanjaro

Siku mbili baada ya kuapishwa na JPM, Mkuu mpya wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amewasili Ofisi za CCM Mkoa wa Kilimanjaro kusalimiana na Viongozi wa chama hicho ambapo miongoni mwa mambo aliyozungumza ni kuisimamia Ilani ya CCM, kushirikiana na wananchi pamoja na kusimamia mambo ya kijamii.

Asha Baraka ataja wasanii wanaoutaka Ubunge, Udiwani 2020

Ndoto za wanamuziki kuingia kwenye siasa wakitaka kuzitumikia jamii zao kwa namna nyingine zinazidi kushika kasi kila siku ambapo leo June 9, 2017 Mkurugenzi wa Aset inayomiliki Bandi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’ na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) ‘CCM’, Asha Baraka amekaa na Ayo TV na millardayo.com na amewataja wasanii ambao wanatamani kuwa Madiwani na Wabunge…

Mwigulu, Mikutano ya hadhara haijazuiwa, imewekewa utaratibu

Hatimaye wakazi wa Lindi na Mtwara wafikiwa na huduma ya maji safi

Exclusive; R.O.M.A Mkatoliki Karudi, Makamuzi Yanaendelea, Sasa Yupo Fit...

LAZIMA USTAAJABU YA BUNGE KWENYE HILI LA LEO

EWURA kuhusu kuongezwa muda wa leseni ya IPTL


Leo June 8, 2017, kituo cha Sheria na Haki za Binadamu 'LHRC' kimetoa tamko kupinga hatua ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji 'EWURA' kupokea na kutangaza kusudio la kuiongezea leseni ya uzalishaji umeme kampuni ya Independent Power Tanzania Limited 'IPTL'.

Deni La Taifa Laongeza Kwa % 9.2

Serikali Imewasilisha Bungeni bajeti Kuu kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 Ambapo Miongoni mwa vipaumbele ni katika kukuza Uchumi wa Viwanda,kufungamanisha Uchumi na maendeleo ya Watu,kujenga Mazingira Wezeshi Kwa Uendeshaji Biashara na Uwekezaji Huku Ikiweka Msisitizo Katika Kusimamia Mfumo wa Kodi,Ada na Tozo mbalimbali

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango Amewasilisha Bungeni Mapendekezo Ya Serikali Kuhusu Makadirio Ya Mapato na Matumizi Ya Fedha Kwa Mwaka 2017/18 Ambapo Deni La Taifa Limeongezaka Kwa Asilimia 9.2 Kutoka Kiasi Cha Shlingi Bilioni 39. Ada bilinion 42 Ongezeko ili linatokana Mikopo Mpya Na Yazamani Na Mipya Na Limbikizo La Riba Pamoja Na Kushuka Kwa Thamani Ya Dola Ya Marekani.

TOKA IKULU: MAGUFULI AMCHANA LISSU - ALIAMSHA DUDE KWA WAPINZANI ASEMA H...

Serikali Yawatoa Hofu Wafanya Biashara

Kufatia Malalamiko Ya Wabunge Wakati Wa Mjadala Wa Bajeti Ya Wizara Ya Fedha Ambapo Kulikuwa Na Malalamiko Kuwa Sekta Binafsi Imekuwa Ikiporoma Kwa Kasi Serikali Imewatoa Ofu Wafanya Biashara Nchi Kufatia Matamko Ya Baadhi Ya Viongozi Jambo Lilizua Hofu Kwa Wafanya Biashara

Akiwasilisha bajeti Ya Serikali Bungeni Mjini Dodoma Waziri Dkt Mpango amesema Ametoa Wito Kwa Wafanya Biashara Wafanye Biashara Bila Hofu Kwa Kufata Kanuni Taratibu Na Sheria Za Nchi

Waziri Mpango kuhusu Serikali kufuta kodi za magari

Waziri wa Fedha na Mipango Philip Mpango aliwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/2018 ambapo kati ya vitu vilivyoshangiliwa zaidi na Wabunge kwenye Bajeti hiyo ni pamoja na kufuta kodi za magari barabarani yaani Road License

Vita inayoendelea kati ya FARDC na waasi nchini DRC.

Austere Malivika yuko katika uwanja wa mapambano huko DRC ambapo anatutaarifu hali inayoendelea wakati mapambano yakiendelea baina ya jeshi la DRC FARDC na wapinzani. Hivi leo kundi la waasi wa maimai limechoma kambi ya jeshi ya FARDC lakini mapambao yanaendelea

Bunge la Iran lashambuliwa na watu 12 kuuawa

Shambulizi katika bunge la Iran lawaua watu 12. Kampeni Uingereza zakamilika leo kabla uchaguzi mkuu kesho Alhamisi. DRC yakubali uchunguzi wa pamoja dhidi ya mauaji ya wataalamu wa UN na raia wa Kasai. Trump ajiingiza katika mgogoro wa kidiplomasia unaoikumba Qatar. Papo kwa Papo 07.06.2017

Harmorapa akijitetea skendo yakuvaa gauni la boss wake ili aimbe nakuche...

Msanii Harmorapa ambaye sasa ana 'trend' na moja ya video ikimuonyesha akicheza wimbo akiwa amevaa gauni amefunguka na kusema yeye hajavaa gauni la bosi wake kama ambavyo watu wanadai bali yeye amevaa nguo ya kawaida katika video hiyo.

Harmorapa amesema kuwa yeye alifanya 'cover' ya kitu alichofanya Alikiba kwa kuimba wimbo wa 'Brenda Fassie' na kwa kuwa yeye anamkubali sana msanii huyo alivutiwa naye na ndiyo maana aliamua kufanya na yeye.

"Unajua mimi namkubali sana Alikiba hivyo nilivyoona amefanya kitu kile na mimi nikasema ngoja nifanye kama 'Cover' ila sikuvaa gauni la bosi wangu wala sikuvaa gauni mimi naona niliva mavazi ya kawaida tu, labda nyinyi ndiyo mnaona gauni lakini kwangu mimi ile ni nguo tu ya kawaida" -Harmorapa.

Harmorapa akijitetea skendo yakuvaa gauni la boss wake ili aimbe nakuche...

Msanii Harmorapa ambaye sasa ana 'trend' na moja ya video ikimuonyesha akicheza wimbo akiwa amevaa gauni amefunguka na kusema yeye hajavaa gauni la bosi wake kama ambavyo watu wanadai bali yeye amevaa nguo ya kawaida katika video hiyo.

Harmorapa amesema kuwa yeye alifanya 'cover' ya kitu alichofanya Alikiba kwa kuimba wimbo wa 'Brenda Fassie' na kwa kuwa yeye anamkubali sana msanii huyo alivutiwa naye na ndiyo maana aliamua kufanya na yeye.

"Unajua mimi namkubali sana Alikiba hivyo nilivyoona amefanya kitu kile na mimi nikasema ngoja nifanye kama 'Cover' ila sikuvaa gauni la bosi wangu wala sikuvaa gauni mimi naona niliva mavazi ya kawaida tu, labda nyinyi ndiyo mnaona gauni lakini kwangu mimi ile ni nguo tu ya kawaida" -Harmorapa.

Diamond Platnumz amchimba mkwara mzito Young Killer

Diamond Platnumz amchimba mkwara mzito Young Killer

Diamond Platnumz amchimba mkwara mzito Young Killer

Aslay: Sasa Hivi Kila Mtu Atafanya Kazi Kivyake, Mkubwa Fella Kashatubar...

Kesi iliyoamuliwa Mahakama Kuu Tanzania imetwaa Tuzo ya Dunia

July 08 2016 Mahakama Kuu ya Tanzania ilitoa hukumu kukubali kwamba vifungu vya 13 na 17 vya Sheria ya Ndoa vinapingana na Katiba ya nchi kwa kuweka umri tofauti wa kuoa/kuolewa kati ya mtoto wa kike na wa kiume...good news ni kwamba kesi hiyo imeshinda Tuzo ya Dunia

Huduma ya matibabu ambayo sasa utaipata TZ na si nje ya nchi tena

Serikali ya TZ imekuwa ikipeleka wagonjwa 14 kwa mwaka kwa ajili upasuaji na upandikizaji wa vifaaa vya usikivu na gharama yake ni milioni 80 hadi 100 kupandikiza kifaa kwa mtoto mmoja. Sasa Good News ni kwamba huduma hiyo imeanza kutolewa Rasmi Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Msiba wa Ndesamburo; Povu la Gwajima kwa RC Mrisho Gambo Laanzisha 'Vita'

Mwili wa aliyekuwa M/kiti wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge mstaafu wa jimbo la Moshi Mjini mzee Philemon Ndesamburo umeagwa leo Tar 5 Juni 2017 katika viwanja vya Majengo na kuhudhuriwa na maelfu ya wakazi wa Moshi na viongozi mbalimbali wa CHADEMA wamehudhuria, alikuwepo askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Dr. Josephat Gwajima ambapo alipopata furasa ya kuzungumza alianza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrsho Gambo kwa kile alichodai kuwa hakuwa sahihi kabisa kuzuia eneo lililokuwa limepangwa kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kwa marehemu

BREAKING: Maamuzi ya Halima Mdee na Bulaya baada ya kutupwa nje ya Bunge...

Jumatatu June 5, 2017 iliripotiwa taarifa za kusimamishwa kuhudhuria vikao vya Bunge kwa Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya hadi Bunge la Bajeti 2018/2019 Halima Mdee na Ester Bulaya, AyoTV na millardayo.com zimewapata Wabunge hao.

BREAKING: Maamuzi ya Halima Mdee na Bulaya baada ya kutupwa nje ya Bunge...

Jumatatu June 5, 2017 iliripotiwa taarifa za kusimamishwa kuhudhuria vikao vya Bunge kwa Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya hadi Bunge la Bajeti 2018/2019 Halima Mdee na Ester Bulaya, AyoTV na millardayo.com zimewapata Wabunge hao.

Lissu Apinga Adhabu ya Mdee na Bulaya

MWANZO-MWISHO: IGP Sirro aenda Kibiti na Mkuranga

Wiki moja tangu IGP Simon Sirro aapishwe na JPM kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi, leo June 6, 2017 Mkuu huyo wa Jeshi la Polisi amefanya ziara yake ya kwanza Kibiti na Mkuranga kutimiza ahadi baada ya kuombwa na wazee wa maeneo hayo.

Eneo hilo la Pwani ni miongoni mwa maeneo ambayo mauaji yameripotiwa.

Niliahidi kukusogezea wasanii wapya kila wiki, Unahitaji kumsikia Topher...

Ni ahadi yangu kukusogeza karibu na vipaji vipya kila wiki kwenye AyoTV Entertainment na Leo June 8 tupo na TopherJaxx.

U HEARD; HARMONIZE KUCHUKUA VITU VYAKE VYOTE KWA JACLINE WOLPER KISA DEM...

“Kokoro ya Mavoko, Diamond imenitenganisha na Alikiba” – Abydad

Story ambayo ilikuwa gumzo miezi michache iliyopita ni kuhusu Producer Abydad kutoendelea kufanya kazi tena na mwimbaji staa Alikiba licha ya kumtayarishia hit songs kadhaa kama vile Chekecha na Aje ambazo zinafanya vizuri hadi leo.

Mwinyi, Kikwete, Membe waongoza mamia ya watu kumzika Cisco Mtiro

Ujerumani na China kushirikiana zaidi

Ujerumani na China zakubaliana kupanua wigo wa mahusiano, Rais Donald Trump aamua kuiondoa Mrekani kwenye mkataba wa paris wa mabadiliko ya tabianchi na Kenya yaadhimisha miaka 54 ya kujitawala. Papo kwa Papo:01.06.2017

Trump asababisha maandamano makubwa Marekani kwa kuukataa mkataba wa tab...

Wakimbizi 44 wafariki jangwa la Sahara kwa kiu kikali,na Tume ya uchaguzi Rwanda yabadili kibao baada ya kukaliwa kooni na wapinzani na wanadiplomasia wakigeni

Breaking: MBOWE AFUNGUKA HAYA AWEKA UKWELI BAYANA BAADA KUVUJA CLIP YA M...

SIMON SIRRO LAWAMANI KWA KWA MAUAJI YA NDUGU WA FAMILIA

Wolper ampiga dongo mzungu wa Harmonize, asema ana mdomo mkubwa

IMEVUJAA: Sikiliza Namna Mchezo Mzima Ulivyofanyika Kuigiza Sauti ya Wem...

HUKUMU YA HALIMA MDEE NA ESTER BULAYA BUNGENI

Msaada wa Magari na Bilioni 110 alizokabidhiwa Rais JPM Ikulu leo

Rais Magufuli amefanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait hapa nchini Jasem Ibrahim Al Najem na kushukuru kwa kutoa mkopo wa Tsh. Bilioni 110 za ujenzi wa barabara KM 85 Chaya - Nyahua, Tabora.

Rais Magufuli ametoa shukrani na kupokea msaada wa magari mawili ya kubebea taka ngumu yenye thamani ya Dola 200,000/- yaliyotolewa na Serikali ya Kuwait.

SHAURI LA KUDHARAU MAMLAKA YA SPIKA: Wabunge walivyowajadili Mdee na Bul...

Watanzania watakiwa kujenga utamaduni wa kutunza fukwe za bahari

“Tunaotaka kuwa Viongozi bora tunajaribu kujinasibisha na Nyerere” – Mak...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano January Makamba amesema Kongamano la Mazingira lililofanyika Butiama ni kwa sababu Mwalimu Nyerere ni mfano wa kuigwa ambaye kila mmoja anatamani kumuiga katika yale aliyoyafanya

alichosema LOWASSA kwenye MSIBA wa NDESAMBURO leo

Christina Shusho kuhusu vazi la Jeans...ni sahihi kwa waliookoka?

Moja ya story kubwa ambayo inaendelea kuwa gumzo na ku-make headlines kwa kuibua mijadala sehemu mbali ni kuhusu mavazi ya jeans kwa waliookoka ambapo licha ya elimu kutolewa limeonekana kuwa gumu kwa baadhi ya watu.
Ayo TV na millardayo.com zimekutana na Mwimbaji staa wa Injili Tanzania, Christina Shusho ambaye anaeleza kama ni sahihi au sio sahihi kwa waliookoka kuvaa vazi la Jeans.

Mdee, Bulaya wafungiwa mwaka mmoja kwa kumdharau Spika

Bunge limepitisha azimio la Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge ikiwa ni pamoja na kupitisha hoja ya kubadilisha azimio hilo lililotolewa na Mbunge wa Vitimaalum Juliana Shonza azimio lililowataka wabunge Ester Bulaya na Halima Mdee kutohudhuria vikao vyote vya Bunge vilivyobaki vya mkutano wa saba wa bunge la bajeti, Mkutano wote wa nane wa bunge na mkutano wote wa tisa wa bunge

"Unaweza kuzaliwa Masikini lakini kufa Masikini ni kujitakia" – Mavunde

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu Anthony Mavunde ametoa wito kwa vijana wa kitanzania kuwa wabunifu bila kujali ni wakati gani na changamoto zipi wanazipitia na wasikubali kukatishwa tamaa ili kujiwekea mikakati ya kufikia malengo yao.

Alichokisema Mama Samia kwenye Kongamano la Mazingira Butiama

Makamu wa Rais Samia Suluhu akiwa kwenye Kongamano la Mazingira amewaasa Watanzania kutumia wajibu wao kukumbushana umuhimu wa kuyatunza na kuhifadhi Mazingira kwa manufaa na mustakabali wa maisha ya kila siku…

MPYA: Wema Amtaja Aliyevujisha ile Sauti yake na Mbowe

HEKAHEKA: Mama adaiwa kumchapa mwanae hadi kufa...kisa?


June 5, 2017 kwenye Leo Tena ya Clouds FM mtangazaji Geah Habib ametusogezea Hekaheka ambayo inamuhusu mwanamke mmoja ambaye anashikiliwa na Polisi akidaiwa kumpiga mtoto wake wa kumzaa hadi kufa baada ya kumshutumu kuiba hela ya ndani.

Ndugu Wasisitiza Hawatamzika Ndugu Yao Aliyepigwa Risasi na Polisi Mpaka...

Familia ya Salum Almasi, Imamu wa msikiti wa Al-Kheri uliopo Kurasini jijini Dar es Salaam, aliyepigwa risasi na polisi na kuuawa huku polisi wakiendelea kushikilia msimamo kwamba alikuwa jambazi, wametoa tamko kali kwa jeshi la polisi kuhusu mazingira ya kutatanisha ya kifo cha ndugu yao.

Majaliwa aitaka Halmashauri Kilosa kuirudishia Gairo fedha zake Sh200 mi...

Kivuko kipya cha MV Kazi chapokelewa leo, kina uwezo wa kubeba watu 800

Kivuko hicho kitakachofanya safari kati ya Feri na Kigamboni ujenzi wake umegharimu Sh7.3 trilioni na kina uwezo wa kubeba watu 800 na magari 22 kwa wakati mmoja

Wafanyabiashara ya maua barabarani waomba sapoti ya mtaji taasisi za fedha

Gwajima Amvua nguo Bashite hadharani. Aliyosema hajawahi kuyasema

Askofu Gwajima amvua nguo Bashite hadharani. Aliyosema hajawahi kuyasema. Atoa hukumu kwamba amemfuta kwenye Ulimwenye wa Siasa na Madaraka kwa ujumla mpaka atakapoomba msamah

Msiba: Balozi Cisco Mtiro Afariki Dunia

Mkuu wa Itifaki mstaafu Balozi Cisco Mtiro amefariki dunia katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

Cisco Mtiro alikuwa Balozi wa Tanzania nchi za Malaysia, Phillipines, Cambodia, Singapore na Laos.

Kwa mujibu wa familia yake, msiba upo nyumbani kwa marehemu Mikocheni B jijini Dar es salaam ambapo aratibu za mazishi zinaendelea na taarifa zitatolewa mara tu zitapokamilika.

Njombe wadhibiti magonjwa yanayosambazwa na uchafu

NMB yaigawia serikali shilingi bilioni 16.5

Ramadhani katika nchi za vita na migogoro

Mwili wa anayedaiwa kuchora Nembo ya Taifa ulivyoagwa Muhimbili

June 2, 2017 ilitolewa taarifa ya kupatikana kwa ndugu wa marehemu mzee Francis Maige Kanyasu ambaye anatajwa kuwa mmoja wa waliochora Nembo ya Taifa ambapo ilielezwa pia kuwa mwili wake utaagwa leo June 3, 2017 katika Hospitali ya Muhimbili

Lava Lava kutoka WCB akiri kumkubali Alikiba zaidi

Baada ya Lava Lava kutangazwa kujiunga na lebo ya WCB siku chache zilizopita pamoja na kuachia wimbo wake mpya 'Tuachane' ambao unafanya vizuri sehemu mbalimbali - muimbaji huyo ameeleza mengi ikiwemo safari yake mpaka kufika WCB

TUNDULISU:magufuli anadanganya watu MCHANGA SIYO WETU ,ripotini TAKATAKA

Serikali yashauriwa kufumua mikataba ya madini, kuondoa mapungufu

#SiriImefichuka: Inasemekana Wema Sepetu kwenye Penzi zito na Mbowe! Sik...

HARMONIZE AMTAMBULISHA RASMI MPENZI WAKE WA KIZUNGU RAIA WA ITALY, MCHEK...

Harmonize Amtambulisha Rasmi Mpenzi wake wa kizungu.... Raia wa Italy ambaye anamuweka Mjini kwa sasa.... Habari zinazo zagaa kama Njugu kitaa ni kwamba mwanamama tayari ana Mimba na Muda wowote kinanukaa...!! Je Unampa marks ngapi Harmonize kwa chombo hiki?? 50 % au 100% ????

GIGY MONEY ANA NGOMA? AMEPIMA, MAJIBU HAYA HAPA, WEMA ACHEZESHWA KISINGE...

Yule mwanadada anayeliangahisha jiji la Dar es Salaam, deo aliyotuwekea mtandaoni, Gigy ambaye alitrend juma lililopita kwa kulikisha video akiwa na mwanasheria maarufu Albert Msando ameamua kuyaweka majibu yake hadharani jionee..

HAIJAWAHI KUTOKEA! MAGUFULI AMTEUA MPINZANI ANNA MGHWIRA MKUU WA MKOA KI...

Rais Magufuli amemteua aliyekuwa mgombe urais kupitia ACT Wazalendo Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Moa wa Kilimanjaro baada ya aliyejiuzulu Mh. Saidi Meck Sadiki.

Breaking Newz: MAGUFULI AMTEUWA MPIZANI MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO KUKA...

JK AFUTURISHA NYUMBANI KWAKE MSOGA ATOA NENO KWA RAIS MAGUFULI

Mambo mawili ya Zitto Kabwe kuhusu Mchanga wa Madini

June 3, 2017 Chama cha ACT Wazalendo kimefanya Kongamano kuhusu Rasilimali Madini ambalo limefanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa DSM kujadili masuala ya Madini ikiwemo Mchanga wenye madini unaosafirishwa nje ya nchi.

Gesi na Mafuta bado havijaikwamua mikoa ya kusini kuwa ya kibiashara

"Spika Ndugai alimdhalilisha Mbunge John Mnyika"-BAVICHA

June 2 2017, Mbunge wa Kibamba, John Mnyika aliingia kwenye headline baada ya Spika wa bunge kuamuru atolewe ndani ya ukumbi wa bunge kwa madia ya kuonyesha utovu wa nidhamu.

Sasa leo June 3 2017 Baraza la vijana la chama cha demokrasia na maendeleo 'BAVICHA' limelaani kitendo cha kumsukuma Mbunge John Mnyika wakidai kuwa Mnyika hakukaidi amri ya Spika kutoka nje na walitumia nguvu iliyopita kiasi.

Aidha wamelaani kitendo cha Spika wa Bunge Job Ndugai kuwaagiza askari kumtoa nje kwa nguvu Mbunge Mnyika hata pale amabpo alikuwa anajiandaa kutoka ndani ya ukumbi wa bunge kiistaarabu

Utamu wa soka Tanzania hadi Ligi ya Mabingwa Ulaya

DIAMOND PLATNUMZ AMEKUBALI KULEA WATOTO WA MAREHEMU IVAN DON KWA HALI YE...

diamondplatnumz amekubali kulea watoto wa marehemu Ivan Don kwa hali yeyote....anasema Muda wowote watakaomuhitaji Basi haitakuwa shida.... Tazama X sikiliza hapa full Interview kisha Acha comment yako hapa mdau

Maneno ya Diamond Platnumz baada ya kurudi Tanzania jana

Idadi ya watoto wanaofariki Tanzania kwa kukosa lishe bora

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dr. Charles Tizeba yupo Kagera kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Maziwa Kitaifa ambapo amesema kuwa takwimu zinaonesha zaidi ya watoto 130 hufariki kila siku Tanzania kutokana na lishe duni.

Idadi ya watoto wanaofariki Tanzania kwa kukosa lishe bora

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dr. Charles Tizeba yupo Kagera kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Maziwa Kitaifa ambapo amesema kuwa takwimu zinaonesha zaidi ya watoto 130 hufariki kila siku Tanzania kutokana na lishe duni.

Mambo matano kutoka Azam FC baada ya cheo cha CEO kufutwa

Jana June 1 2017 club ya Azam FC itangaza rasmi kumalizana na aliyekuwa afisa mtendaji Mkuu wa club hiyo Saad Kawemba (CEO) kutokana na mkataba wake kumalizika, walitangaza kubadilisha mfumo wa uendeshaji wa club na utawala lakini afisa habari wa club hiyo Jafari Idd kaongea na wanahabari leo.

SPOTI HAUSI: HANS POPPE WA SIMBA SC AFUNGUKA MAZITO!

GLOBAL TV Online, Kupitia kipindi chake cha Michezo, SPOTI HAUSI, kimeongea EXCLUSIVELY na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Timu ya Soka ya Simba Sport Club, Zacharia Hans Poppe na kufunguka mengi kuangazia klabu yake na soka la bongo kwa ujumla.

Sababu za AZAM FC Kukimbia Usajili wa Mabilioni ya Pesa Msimu Huu

AZAM; Hatusajili Tena Wachezaji kwa Mabilioni ya fedha msimu huu, kauli hii imetolewa na msemaji wa Azam Jaffar Iddi ambaye amezitaja sababu za klabu hiyo kutosajili wachezaji kwa gharama kubwa kupata habari zaidi

Hans Poppe Atoa Siri Manji Alivyowaponza Yanga

MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe ametamka kuwa kuondoka kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji kutawapa nafuu wao.

Vijana wazalendo wampa tano Rais Magufuli

vijana wazalendo watanzania wamempongeza Rais Magufuli kwa kitendo chake cha kuzuia na kuwawajibisha viongozi walio husika katika usafirishaji mchanga wa madini

Pogba na kaka zake waikubali Zigo ya Ay na Diamond, check hapa wakiicheza

Harmonize anavyomuiga Wizkid, je nani mkali zaidi?

Salama aichambua bifu ya Diamond na Alikiba na chanzo cha Bifu

Yote aliyoyasema Rais Magufuli leo June 1 2017

President Magufuli leo alizindua mfumo wa ukusanyaji kodi kwa njia ya kielektroniki uliotengenezwa na Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kwenye kituo cha Taifa cha kuhifadhi kumbukumbu ( DATA CENTRE)

Serengeti Boys imemfanya Rais wa TFF kufikiria kubadili kanuni za VPL

Rais wa Shirikisho la soka Tanzania TFF leo June 2 2017 mbele ya waandishi wa habari ametangaza kuwashukuru wote waliyokuwa wanaisapoti Serengeti Boys na kuichangia licha ya kutolewa katika mashondano ya AFCON U-17 kwa kanuni ya head to head.

Malinzi ambaye ameona kigezo cha uwiano wa matokeo ndio kimetumika katika michuano ya AFCON U-17 atapendekeza katika kamati ya utendaji kanuni hiyo itumike kuanzia msimu ujao kabla ya kuanza kuitumia kanuni ya tofauti ya magoli ya kushinda na kufungwa.

Mpango utakaopunguza msongamano wa abiria kwenye vituo vya mwendokasi

Watumiaji wa mabasi yaendayo haraka DSM wamekuwa wakikumbana na kero kubwa ya msongamano wa abiria hasa nyakati za Asubuhi jambo linalosababisha vurugu...sasa wakala wa mradi huo wameeleza mpango uliopo kutatua kero hiyo..

KING MAJUTO AMPONDA GIGY MONEY NA VICHUPI VYAKE

Gigy Money amtolea uvivu Harmorapa

pia azungumzia ujio wa Nyimbo yake mpya aliyo wachana wanaume zake wote aliopita nao

EXCLUSIVE: Zari afunguka baada ya msiba wa Ivan The Don

Zari The Boss Lady ambaye ni mpenzi wa mwimbaji staa wa Diamond Platnumz amekaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV na millardayo.com Kampala Uganda na kueleza mengi kuhusu msiba wa Mpenzi wake wa zamani aitwae Ivan.

LOWASSA AMESEMA HAWEZI KUVAA TENA GWANDA LA CHADEMA.

Mh Edward Ngoyai Lowassa amesema Yeye alikuwa Mkuu Jeshini na Amepigana Vita ya Kagera hivyo hawezi tena kuvaa Magwanda ya CHADEMA.

BREAKING NEWS: Mnyika atolewa bungeni, wapinzani watoka naye

Mbunge wa Kibamba, John Mnyika umetolewa nje ya bunge kwa agizo la Spika wa Bunge, Job Ndugai.Licha ya adhabu hiyo, amemzuia kuhudhuria vikao vya bunge kwa siku saba kuanzia leo.mara baada ya kitendo hicho wabunge wote wa kambi ya upinzani wakatoka nje

MWANZO-MWISHO: Mbunge Mnyika alivyotolewa Bungeni na Askari

Moja ya stori kubwa kutokea Bungeni Dodoma leo June 2, 2017 ambayo ina-make headline ni Wabunge wa Upinzani kususia Vikao vya Bunge hatua iliyokuja baada ya agizo la Spika Job Ndugai kumsimamisha Mbunge wa Kibamba John Mnyika kutoshiriki Vikao vya Bunge kwa muda wa wiki moja kutokana na utovu wa nidhamu aliouonesha mbele ya Bunge na kuwaagiza Polisi kumtoa nje.