HEKAHEKA: Mume ataka kumchinja mkewe Kigoma, kisa..?

Hekaheka ya leo May 31, 2017 imetokea Kigoma ambako mwanamke mmoja amenusurika kifo baada ya kutaka kuchinjwa na mumewe kwa sababu ya wivu wa kimapenzi baada ya mwanamke huyo kusalimiana na mwanaume barabarani.

Baba mzazi wa Zari aelezea alivyoguswa na msiba wa Ivan

Mfanyabiashara maarufu Uganda Ivan Ssemwanga ‘Ivan Don’ ambaye alikuwa mume wa zamani na baba watoto wa Zari the Boss Lady, hatimaye amezikwa Kampala, Uganda May 30, 2017 huku akiacha simanzi nyuma yake…mmoja wa watu waliohuzunishwa na kifo hicho ni mzee Hassan baba yake Zari ambaye alimuelezea Ivan.

Povu La Mhe William Lukuvi Kwa Wapima Viwanja

Waziri wa Aridhi Na Maendeleeo Ya Makazi Mhe, Willim LuKuvi Amekiagiza Chama Cha Wakala Upimaji Ardhi Kuwafukuza Mawakala Wapimaji WaSiokuwa Waaminifu Na Wanaosababisha Migogoro Ya Aridhi

Taarifa Ya Kifo Cha Muasisi Wa Chadema Philemon Kiwelu Ndesamburo

BREAKING NEWS: Ndesamburo hatunaye

Mbunge Mstaafu wa Moshi Mjini na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro Philemon Ndesamburo amefariki dunia mapema leo, endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi

Wabunge upinzani wamshangilia Mbunge wa CCM Bungeni

Mkutano wa Saba wa Bunge umeendelea tena Dodoma ambapo May 30, 2017 ilikuwa siku ambayo Wabunge walikuwa wanawasilisha maoni yao katika Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango ambapo miongoni mwa waliopata nafasi hiyo ni Mbunge wa Viti Maalum Kiteto Koshuma ‘CCM’ ambaye aliikosoa Bajeti ya Wizara hiyo akiomba ifanyiwe marekebisho.

Investing in Tanzania (Word on the Street)

Vox pop opinions from the public on what is the general investment atmosphere in Tanzania and what is the understanding on IPOs

Watanzania watatu watajwa Jarida la Forbes Under 30 Africa

Kila mwaka Jarida maarufu la Forbes ambalo hufuatilia maisha ya watu maarufu duniani na kutoa takwimu mbalimbali zikiwepo watu wanaoingiza pesa nyingi zaidi duniani, mastaa wanaoongoza kwa malipo ama wajasiriamali wa kutazamiwa.

Mwezi huu Forbes Africa limetoa list ya Wajasiriamali waafrika 30 wenye umri chini ya miaka 30 ambao wamefanya mabadiliko makubwa kwenye sekta zao na wanafanya vizuri kama wafanyabiashara wenye umri mdogo. Mrembo Jokate Mwegelo, Lavie Makeup na Godfrey Magila wametajwa kwenye jarida hilo kama wajasiriamali wakutazamwa.

"Nitawashangaa wanaomshangaa Waziri Mwijage" - Lema

Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema 'CHADEMA', leo May 30, 2017 alikuwa miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma na kuchangia Mapendekezo katika Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango ambapo alisema Serikali imeshindwa kutoa tafsiri sahihi ya Tanzania ya Viwanda.

Jerry Muro ana Majina Ya Wabunge Waliohongwa Sakata la Mchanga wa Madini

Jerry Muro ana Majina Ya Wabunge Waliohongwa Sakata la Mchanga wa Madini. Asema walikuwa wanawabebea mabegi wawekezaji na kisha kuhongwa

Mrema afunguka alichofanya Magufuli kwenye Mchanga wa Madini

Mrema afunguka alichofanya Magufuli kwenye Mchanga wa Madini.

Augustino Lyatonga Mrema (born 31 December 1944) is a Tanzanian politician and former minister for home affairs in Tanzania. After switching party affiliation in February 1995 he joined NCCR-Mageuzi before moving on to Tanzania Labor Party where he was made the Party Chairman. Tanzania Labour Party (TLP) party. He served as the Member of Parliament for Vunjo constituency on multiple occasions until 2015 when he was defeated in the National election by Hon. James Mbatia of NCCR MAGEUZI. In early 2016 Mr. Mrema was appointed by President John Joseph Pombe Magufuli as the chairperson of Tanzania Parole Board

Walichokisema Wananchi wa Mkuranga Kufuatia Kamanda Sirro Kuapishwa kuwa...

Kufuatia kuapishwa kwa IGP Simon Sirro, wakazi wa Mkuranga mkoani Pwani, wameelezea hisia zao kuhusu uteuzi huo uliofanywa na Rais John Pombe Magufuli wa kumteua mkuu huyo mpya wa polisi.

Mama Aliyeolewa na Mchungaji Mshirikina na Kupitia Mateso Magumu

MATAJIRI Wafanya KUFURU kwenye Kaburi la IVAN

Baadhi ya MATAJIRI Wakubwa Nchini Uganda ambo pia walikua Marafiki wa Karibu wa Marehemu Ivan Ssemwanga Wamwaga Pombe na Pesa kwenye Kaburi la IVAN wakati wa Mazishi yake.

Mchekeshaji Eric Omondi alivyovamia stage kucheza SALOME na Diamond

Mchekeshaji staa wa Kenya Eric Omondi alikuwa mmoja wa kivutio katika Tamasha la Koroga Festival lililofanyika Nairobi Kenya May 28, 2017 baada ya kuvamia stage na kuanza kucheza wimbo wa Salome sambamba na staa wa Tanzania Diamond Platnumz ambaye alikuwa anatumbuiza akiwa na Band yake kwenye tamasha hilo.

EXCLUSIVE: Steve Nyerere afunguka tofauti yake na Mama Wema Sepetu

Muigizaji mkongwe wa Filamu Tanzania Steve Nyerere amekaa na Ayo TV na millardayo.com ambapo kati ya mambo aliyozungumza ni kuhusu kuyaweka pembeni mambo yote yaliyotokea baina yake na Mama yake Wema Sepetu

YOUNG DEE asema jambo kuhusu AMBER LULU, amkana TUNDA

Baada ya Young Dee Kummwaga, Amber Lulu Afunguka Jinsi Alivyoteseka Kima...

Penzi la Young Dee na Amber Lulu limevunjika lakini bado mwanadada huyo analiwewesekea penzi la mkali huyo wa Bongo Bahati Mbaya ambapo amefunguka kwamba alimpenda sana na hakutegemea kama watamwagana mapema kiasi hicho

Breaking News: IGP Sirro Apiga Mkwara Mzito Mauaji ya Mkuranga, Asema Ub...

IGP Simon Sirro amewachimba mkwara mzito watu wanaoendesha mauaji ya viongozi wa serikali, chama na askari kwenye silaya za Mkuranga, Ikwiriri na Rufiji na kuwahakikishia wananchi kwamba siku zao zinahesabika.
Akizungumza na waandishi wa habari, kamanda Sirro amesema

Chameleone, Bobi Wine waeleza walivyoguswa na kifo cha Ivan

Watu mbalimbali wakiwemo mastaa wa muziki wa Uganda walikuwa ni sehemu ya waliohudhuria mazishi ya aliyekuwa Mfanyabiashara maarufu nchini humo Ivan Don ambaye amezikwa May 30, 2017 kwao Kampala.
Miongoni mwa mastaa wa Muziki kutoka Uganda ambao Ayo TV na millardayo.com imekutana nao kwenye msiba huo ni Jose Chameleon na Bobi Wine ambao hawakusita kueleza hisia zao juu ya msiba huo

Mpaka Home: Haya Ndiyo Maisha Halisi ya Bambo, Global TV Yamuibukia Usiku

Msanii wa vichekesho, Dickson Makwaya 'Bambo', anafahamika sana katika medani ya komedi Bongo, lakini ni wangapi wanaojua maisha yake halisi? Basi Global Tv Online ilimtimbia mpaka Kigogo Mbuyuni jijini Dar es Salaam nyakati za usiku na kujionea maisha yake halisi anayoishi.

LIVE: Kama Umewahi Kula Kuku Dar Basi Video Hii Inakuhusu

Global TV imeamua kukuleta exclusive interview na wafanyabiashara wa kuku wanaopatikana Shekilango jijini Dar Es Salaam, kupitia Interview hii utaweza kujua wapi wanapopatikana kuku hao na pia huduma wanazopewa na hata maandalizi kabla hawajamfikia mteja, pamoja na majibu ya baadhi ya maswali ambayo watumiaji wengi wa kitoweo hicho cha kuku hujiuliza.

DIAMOND PLATNUMZ AFUNGUKA SABABU ZA KUTO HUDHURIA MAZISHI YA IVANDON

Mambo Sita ya Serukamba kuhusu Wizara ya Fedha 2017/18

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Peter Serukamba alikuwa miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni May 30, 2017 kuwasilisha Mapendekezo katika Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka wa fedha 2017/18 ambapo amependekeza mambo sita ya kufanyiwa kazi.

Mrembo Mtanzania aliyenunua nyumba New York, Marekani

Herieth Paul ni mrembo mtanzania ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani, Ni Model mwenye umri mdogo ambaye kwa sasa anaishi kwenye Nyumba yake mwenye aliyoinunua New York, Marekani.

'Niliumia sana moyo nilipomkosa Mwigizaji Elizabeth Michael'- Bahati

7 ambapo mkali kutoka Kenya, Bahati alikutana na millardayo.com & Ayo TV Airport Dar es Salaam na kuzungumza jinsi alifanya jitihada zake za kumtafuta Mwigizaji Lulu amshirikishe kwenye single yake lakini haikuwezekana.

MALAIKA-"Nilifeli Kidato cha 4 lakini sio mwisho wa maisha"

May 26, 2017 Mwimbaji staa kutoka Bongoflevani Malaika ambaye siku chache zilizopita alikuwa kwenye headlines kufuatia kufanya show Marekani amefunguka kuhusu maisha yake ambapo amegusia kuhusu elimu yake akisema alifeli Kidato cha Nne.

Kala Jeremiah aikosoa kauli ya Mwakyembe kutoimba Siasa

Hivi karibuni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe alisimama Bungeni Dodoma na kuwataka wasanii wasijihusishe na kuimba siasa badala yake wajikite kuelimisha jamii kauli ambayo imekuwa gumzo kwa wadau wa muziki.

SAKATA LA KUIBIWA MTOTO: Waziri Ummy aunda Tume Huru kuchunguza

Siku zimepita tangu sakata la Mwanamke mkazi wa Dar es salaam aitwae Asma kudai kuibiwa mtoto ambaye inadaiwa wakati akifanyiwa Ultra sound alikua na ujauzito wa Watoto mapacha lakini alipokwenda kujifungua aliambiwa amejifungua mtoto mmoja

Manji Akanusha Kujiuzulu Awataka Wanachama Yanga Kutulia

Baba Mzazi Athibitisha Msuva Kuondoka Yanga, Je Anakwenda Timu Gani?

Alisajiliwa kwa Laki 2 Leo Simon Msuva Kachukua Tuzo ya Mfungaji Bora

John Bocco Atua Rasmi Simba, Aishi Manula Naye Kumfuata, Griezmann Man U

Hatimaye John Bocco Atua Simba, Aishi Manula Naye Kumfuata

Pogba: Aenda Kuhiji, Asema Hajawahi Kuona Sehemu Nzuri Kama Meccah

�� Askofu Gwajima awavaa Prof. Muhongo na Tundu Lissu

Askofu Gwajima awavaa Prof. Muhongo na Tundu Lissu kwenye Ibada ya Kanisani kwakwe Jumapili. Amsifia Rais Magufuli kwa hatua alizochukua sakata la Mchanga wa Madini

GODBLESS LEMA"NI MWENDAWAZIMU PEKEE NDIO HATAPONGEZA RASILIMALI ZA NCHII ZIKILINDWA"

Kaimu balozi wa Marekani Tanzania aeleza msimamo Washington kuhusiana na...

Virginia Blaser, kaimu balozi wa Marekani nchini Tanzania akizungumza katika mahojiano maalum na Sauti ya Amerika juu ya masala mbali mbali.

Isaac Ruto in Baringo ''Hii serikali ni ya Uhuru Kenyatta, William Ruto ...

Mtazamaji safari ya Rais Uhuru Kenyatta ya kisiasa bila shaka imekuwa na misukosuko ya aina yake, kuanzia miaka ya tisini aliposimama wadhifa wa ubunge wa Gatundu Kusini na kushindwa.

news:msukosuko unaomkabili rais uhutu kenyetta

Mtazamaji safari ya Rais Uhuru Kenyatta ya kisiasa bila shaka imekuwa na misukosuko ya aina yake, kuanzia miaka ya tisini aliposimama wadhifa wa ubunge wa Gatundu Kusini na kushindwa.

Lissu Aponda Uamuzi wa Rais JPM Kuzuia Mchanga wa Dhahabu, Atabiri Hali ...

Tundu Lissu, Mbunge Singida Mashariki, ameucharukia uamuzi wa rais Magufuli wa kuzuia mchanga wa dhahabu kwenda nje ya nchi, akieleza kwamba kitendo hicho kimeua kabisa diplomasia ya kiuchumi.

baada ya MAGUFULI kumtumbua IGP mangu atoa KAURI HII

Maneno matatu ya Zari kwa wanae leo kwenye kumuaga aliyekuwa mume wake.

zari the boss lady leo siku ya kuuaga mwili wa aliyekuwa mpenzi wake wa zamani ivan ambaye wamefanikiwa kupata watoto watatu.katika hatua hiyo ya mwisho zary aliamua kutoa maneno matatu kwa watoto wake

news:Hali ya Kiuchumi kwa Mzee Yusuph Yabadilika Sana Kutokana na Dini.

hali ya kiuchumi ya mwimbaji wa taarabu mzee yusuph imbabadilika kutokana na dini.akisema hayo kwenye mahojiano na kituo cha redio cha times fm afunguka bayana hali yake ilivyo sasa na hali ya kipindi cha nyumba

MCHANGA WA DHAHABU: Rais Magufuli atatikisa dunia, Serukamba

Mheshimiwa peter serukamba mbunge wa kigoma anasema sakata la mchanga wa dhahabu raisi magufuli atikisa nchi.

Mbwana Samata Azidi Kung'ara- KRC Genk 3-0 St. Truiden - Belgium Jupiler...


WOLPER: Alikiba ni Mtamu Kimahaba Kuliko Wote Harmon...

JACKLINE WOLPER MSANII WA KIKE MAARUFU WA BONGO MUVI AKITHIBITISHA MWENYEWE KWA KINYWA CHAKE KUWA ALIKIBA PEKEE NDIYE MWENYE MAHABA MATAMU KULIKO WENGINE WOTE ALIOWAHI KUTOKA NAO KIMAPENZI.

Mbali na Siasa, vifahamu vitu ambavyo Mwl. Nyerere alivipenda


June 3 na 4, 2017 ni siku ambazo zimepangwa kufanyika maadhimisho ya Siku ya Mazingira Tanzania ambapo kitaifa yatafanyikia nyumbani kwa Hayati Mwalimu Nyerere Butiama katika Mkoa wa Mara huku Kaulimbiu ikiwa “Hifadhi ya Mazingira: Muhimili kwa Tanzania ya Viwanda

Diamond Platnumz alivyo perfom kwenye tamasha Nairobi

Mwimbaji Staa wa Bongofleva Diamond Platnumz alialikwa kwenye tamasha la Koroga Festival Nairobi Kenya May 28, 2017 ambapo alitumbuiza akiwa na Band yake.

Wabunge wapingwa kuhusu wanafunzi wanaopewa mimba

Mtandao wa kutokomeza ndoa za utotoni Tanzania 'TECMN' umesikitishwa na kitendo cha baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuunga mkono hoja ya kutowapa nafasi ya kuendelea na masomo wanafunzi wa kike waliopata ujauzito wakiwa shuleni baada ya kujifungua.

SAKATA LA MKURANGA: Kukamatwa kwa watoto kwa tuhuma za ugaidi, mengi yai...

Simba Wapeleka Kombe la Ubingwa wa Shirikisho Bungeni

LIVE: Maadhimisho ya Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kariakoo - Dar

Dawa Rahisi ya kuongeza Nguvu za Kiume

Madhara 10 Usiyoyajua yatokanayo na kula WALI

Madhara 10 Usiyoyajua yatokanayo na kula WALI wa aina hii hapa. Tafadhari tazama video hii muhimu kwako kama wewe huwa unakula chakula hii maarufu kiitwacho wali ama ubwabwa.

Majibu ya Makonda kuhusu Vyeti Feki haya hapa

Hatimaye Paul Makonda mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amejibu tuhuma za kuwa na vyeti feki hadharani baada ya kuulizwa swali hilo na Mwanafunzi wa chuo. Majibu ya Paul Makonda kuhusu Vyeti vyeti bado ya ukakasi kuhusu tuhuma hizo zinazomkabili.

Majibu ya Makonda kuhusu Vyeti Feki haya hapa

Hatimaye Paul Makonda mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amejibu tuhuma za kuwa na vyeti feki hadharani baada ya kuulizwa swali hilo na Mwanafunzi wa chuo. Majibu ya Paul Makonda kuhusu Vyeti vyeti bado ya ukakasi kuhusu tuhuma hizo zinazomkabili.

Breaking: Makonda Aondolewa Rasmi kwenye Sakata la Vyeti Feki

Sikiliza Waziri Angela Kairuki alivyofafanua kwanini Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda hatohusika na Sakata hili la Uhakiki wa Vyeti Feki linaloendelea nchi nzima

Angalia Anachofanya Mlinzi wa Makonda anaejiita Sniper

Angalia Anachofanya Mlinzi wa Mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda anaejiita Sniper

MPYA: Zari Afunguka Kwenye Misa maalum ya Kumwombea Ivan

MPYA: Zari Afunguka Kanisani kwenye misa maalum ya Kumwombea Marehemu Ivan Ssemwanga

Simba 2 vs 1 Mbao FC - Penati Tata Yaipandisha Ndege Simba

Timu ya Simba Sports Club imetwaa kombe la Shirikisho Tanzania Bara kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya timu changa iliyojizolea umaarufu sana kutoka Mwanza ya Mbao FC. Magoli ya Simba yalifungwa na Fredrick Braghon na Kichuya ndani ya dakika thelathini za nyongeza. Simba imekata tiketi ya kushiriki michuano ya shirikisho barani Afrika.

UPDATES:Mwanza waadhimisha siku ya hedhi

Changamoto Hospitali ya Seko Toure kupatiwa ufumbuzi

UPDATES:Wizara Ya Mambo Ya Nje Yaomba Kiasi Cha Bilioni 150

Bunge La Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania Linaendelea Leo Tarehe 29/05/2017 Ambapo Wizara Ya Mambo ya Nje Na Ushirikiano Wa Afrika Mashariki Imewasilisha Makadilio Ya Mapato Na Matumizi Ya Bajeti Ya Wizara Hiyo Kwa Mwaka Wa fedha 2017/18 Ambazo Ni Kwa Ajiri Ya miradi Ya Maendeleo Na Matumizi Ya Kawaida

Cha mwisho alichokizungumza IGP Mangu kabla ya kuteuliwa kwa IGP mpya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo May 28 2017 amemteua Kamishna wa Polisi Simon Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP). Kabla ya Uteuzi huo IGP Simon Sirro alikuwa Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam

Tanzania ilivyopewa uenyeji wa AFCON U-17 2019

Baada ya mchezo wa fainali ya AFCON U-17 iliyokuwa inazikutanisha timu za Mali dhidi ya Ghana kuchezwa katika uwanja wa Stade de Amitie na Mali kufanikiwa kutetea Ubingwa wake kwa kuifunga goli 1-0 Ghana.

MTU ASIYE NA KICHWA AWAACHA WAZUNGU MIDOMO WAZI

Usishangae ndio ilivyo
,mtu asiye na kichwa awaacha watu midomo wazi kwa jinsi anavyofanya matendo yake

UTAJIRI WA BAKHRESA: Hoteli ya kisasa anayojenga baharini Zanzibar

Mfanyabiashara maarufu na Tajiri Tanzania Said Salim Awadh Bakhresa yuko na sisi tena kwenye vichwa vya habari na hii hoteli ya kifahari anayoijenga Zanzibar ambako ni nyumbani alikozaliwa miaka zaii ya 60 iliyopita.

Serikali imetoa ofa ya siku 3 nchi nzima Tanzania


Serikali imetangaza kuanzia June 2 hadi 4, 2017 Watanzania wataingia bure katika Mbuga na Hifadhi za Wanyama nchini kote ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira Tanzania ambayo itafanyika kitaifa Butiama mkoani Mara

MAGAZETI: Siri nzito kungo'ka kwa IGP Mangu, Waliotajwa kumrithi Muhongo

MAGAZETI: Siri nzito kungo'ka kwa IGP Mangu, Waliotajwa kumrithi Muhongo

Kimenuka, Mwanamke Aliyeibiwa Mtoto, Ummy Mwalimu Asema Kinachoendelea

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amefunguka yanayoendelea sakata la mwanamke aliye dai kuibiwa mtoto mara alipokuwa kujifungua na kujikuta na mtoto mmoja hali yakuwa alikuwa akijua kuwa ujauzito wake ulikuwa wa watoto mapacha kutokana vipimo alivyovifanya alipokuwa mjamzito.

UPDATE:Tanzania inapoteza miti laki 9 kwa mwaka"JANUARY MAKAMBA"

EWaziri wa katiba na sheria mheshimiwa january makamba asema Tanzania yapotea kiasi cha miti 2500 kwa siku ambayo kwa hesabu ya mwaka ni miti laki 9 kwa mwaka.Asema hayo kwenye kilele cha kupanda miti dunia  ambayo ilikuwa inafanyika kitaifa tabora pia.Mheshimiwa makamba asema wanatazamia kutengeneza sera mpya ya utunzaji wa mazingira

UPDATE:NAWAPA ONYO WAHALIFU"IGP SIRRO"

IGP Mpya wa Jeshi la Polisi Simon Sirro Ametoa Onyo kali kwa Vibaka na Waharifu kwa Ujumla mara Baada ya Kuapishwa leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

UPDATE:Gwajima amvaa Tundu Lissu Sakata la Mchanga wa Madini

Askofu Gwajima amemvaa Tundu Lissu Sakata la Mchanga wa Madini. Ni baada ya Kauli ya Tundu Lissu kwamba nchi itashtakiwa endapo wawekezaji wa Madini watafukuzwa na kunyang'anywa mali zao

Msimamo wa Chadema Kuhusu Sakata la Mchanga wa Dhahabu


Freeman Mbowe, ametoa msimamo wa Chadema kuhusu sakata la mchanga wa dhahabu ambapo amefunguka kuwa kinachoendelea sasa kuhusu ufisadi huo, ni matokeo ya sera mbovu za serikali inayoongozwa na CCM

Breaking News: IGP Simon Sirro Aapishwa Rasmi na Rais Magufuli Ikulu, Ma...

IGP Simon Sirro, ameapishwa rasmi kushika wadhifa wa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP), nafasi ambayo awali ilikuwa ikishikiliwa na Ernest Mangu

Breaking News: IGP Simon Sirro Aapishwa Rasmi na Rais Magufuli Ikulu, Ma...

IGP Simon Sirro, ameapishwa rasmi kushika wadhifa wa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP), nafasi ambayo awali ilikuwa ikishikiliwa na Ernest Mangu

Matiko ataka watumishi na vifaa vya upimaji ardhi Tarime

Arusha waukaribisha mwezi mtukufuwa Ramadhani

Kimataifa Korea kaskazini kuizamisha meli ya marekaniv#newsupdate

Juhudi za Marekani kukabiliana na kitisho cha Korea Kaskazini

Marekani inaongoza juhudi za kukabiliana na kitisho cha Korea Kaskazini
kwa kuyataka mataifa shirika kuzungumza na sauti moja. Na Bi Hillary
Clinton ajitokeza na kusema anaungana na upinzaniwa wananchi dhidi ya
Trump

Kuelekea uchaguzi nchini Kenya wapiga kura wanasemaje?

HUU NDIO UTAJIRI WA MAKONDA MKUU WA MKOA DSM

Good News! Waliomaliza Form Six na Diploma wanaotaka kusoma Nje Ya Nchi.

Global Education Link wanapenda kuwafahamisha wazazi na wanafunzi kuwa
sio lazima mwanafunzi aanze ku apply nafasi za vyuo vikuu vya nje pale
matokeo yanapotoka, anaweza kuapply hata sasa. Msikilize Mkurugenzi wa
Global Education Link kufahamu zaidi.

Mastaa walivyoguswa na kifo cha Ivan mume wa zamani wa Zari

Siku chache baada ya kuwepo taarifa za kuugua ghafla kwa Ivan Semwanga
a.k.a Ivan the Don, mfanyabiashara maarufu nchini Uganda na mzazi mwenza
wa mrembo Zari The Boss Lady, leo May 25, 2017 imeelezwa kuwa tajiri
huyo kijana amefariki dunia.

Mbunge upinzani ampongeza RAIS

Siku moja baada ya JPM kutengua uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Nishati na
Madini Prof. Sospeter Muhongo baada ya kupokea ripoti ya Kamati Maalum
iliyochunguza Makontena ya mchanga, Mbunge wa Mtwara Mjini Maftaha
Nachuma, CUF leo May 25, 2017 amelieleza Bunge kuwa Rais amefanya
kitendo cha kishujaa kutengua uteuzi huo akisema anapaswa kuungwa mkono.

UFAFANUZI: Tetemeko la Ardhi lililotokea Kanda ya Ziwa

May 25 2017 ziliripotiwa taarifa za kutokea tetemeko la Ardhi Kanda ya
Ziwa ambako Askari mmoja amefariki kutokana na mshtuko katika Wilaya ya
Misungwi ambako Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo amethibitisha kuupokea mwili
wa Askari huyo.

HALIMAMDEE AZUNGUMZIA MIGOGORO YA ARDHI

Mbunge wa jimbo la kawe Halima Mdeee amekuta na staili ya aina yake
alipokuwa akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya ardhi,
Nyumba na maendendele ya Makazi akieleza kuwa yupo kijimbo jimbo kwani
wananchi wa Kawe ndiyo wanaomuweka mjini.

EXCLUSIVE: Chin Bees afunguka kuhusu mahusiano na Navy Kenzo

Mwimbaji staa wa Bongofleva Chin Bees amekaa kwenye Exclusive Interview
na Ayo TV na kueleza kuhusu mahusiano yake na kundi la Navy Kenzo pamoja
na mambo mengine ya kimuziki.

UPDATES;Baraka The Prince aeleza sababu za kutoukubali wimbo wa Ben Pol

Baada ya Mwimbaji wa R&B Ben Pol kuachia wimbo mpya ‘Tatu’
akimshirikisha Darassa, wimbo huo umepokelewa kwa hisia tofauti na watu
mbalimbali hasa baada ya picha za staa huyo alizopiga akiwa bila nguo
kuwa gumzo mitandaoni zikidaiwa kuwa ni promo kwa ajili ya ujio wa wimbo
huo

mbwembwe za yanga Yanga Bungeni

Yanga Watinga Bungeni Dodoma

timu y yanga african leo imeingia bungeni kupeleka ushindi wao moja kwa wabunge amabo ni mashabiki wa yanga

UPDATES:Huyu ndio Msanii mpya wa WCB

WCB leo wamemtangaza msanii mpya katika kundi lao la wassafi classic.uunataka umsikie msaniii huyo ni nani msikilize chibu  akimtangaza msanii huyo mpya

updates:kauli ya maimamu kuhusu kuuwa kwa mwenzao

Maimamu wa msikiti wa Al-Kheri uliopo Kurasini jijini Dar es Salaam, wametoa tamko la kuliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuunda Tume itakayowahusisha viongozi na wataalamu kuchunguza vifo mbalimbali vilivyotokea katika mazingira ya kutatanisha.viongozi hao wamesema kuwa wanaliomba bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania kutafuta njia nyingine ya kufanya ii kuweza kumpata muuwaji wa imamu mwenzao

sokwe wa gombe wanavyoishi kama binadamu

Sokwe wa Hifadhi ya Gombe, ni miongoni mwa vivutio vikubwa duniani ambapo watalii kutoka sehemu mbalimbali, husafiri mpaka mkoani Kigoma, kwenda kuwatazama sokwe hao. Kipindi cha 

Fahari ya Tanzania kinachorushwa na Global TV, kinakuletea video hii maalum ujionee mwenyewe jinsi sokwe hao wanavyoishi, tabia 
zao zikishabihiana kwa sehemu kubwa na binadamu.kwa kiasi flani sokwe hawa tabia zao zinaendana kabisa na zile zinazofanya na binadamu

updates: Serengeti Boys Wawasili nyumbani

Hatimaye timu ya taifa ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17, #Serengeti Boys, imewasili nchini kutokea Libreville, Gabon ilikokuwa ikishiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) baada ya kufungwa 1-0 na Niger.walipowasili katika uwanja wa kimataifa wa mwalimu julius kambarage nyerere ambao walipokelewa na waziri wa habari na michezo mheshimiwa harrison mwakymbe

updates:sport pesa waanzisha mashindani yao ambayo yataanza mwishonimwa mwezi huu

baada ya kuzizamini timu tu za ligi kuu bara tanzania simba,yanga na singida united.leo sport pesa wameamua kuanzisha mashindano yao ambayo yanatarajia kuanza mwishoni mwa mwezi huu.mashinsani hayo yatashirikisha timu kutoka tannzania bara ambazo ni simba,yanga na singida united huku kutoka zanzibar kutakuwa na jagombe boys na timu nyingine ni kutoka kenya ambazo ni gormahia

updates:Muelekeo Wakupungua Matatizo ya Moyo Yanayowakabili Watoto Wadogo

gundua mueleko wa kupungua kwa ugonjwa wa moyo kwa watoto walio chini ya miaka mitano.wakisema hayo vingozi hao waliobobea katika maradhi hayo wanasea wanatarajia kufanya ziara zanzibar kufanya uchunguzi na baada kuja kufanya uchaguzi kwenye baadhi ya mikoa na kuangalia ni sehemu gani inatakiwa iwekewe kipaumbele

updates:ROMA Alivyochana Mbele ya Magufuli Leo

mwanamziki roma jana alitumbuiza mbele ya raisi john pombe magufuli.akiwa mbele ya viongozi wegi wakubwa wa nchi ktika moja ya mikutano uliofanyika ikulu.tumbuizo hilo liliambatana na riport kuhusu mchanga wa dhahabu ambayo ilikuwa inawakilishwa mbele ya raisi baada ya uchunguzi

upadate:LISSU Afukunyua Mazito Zaidi Sakata la Mchanga wa Dhahabu

Mbunge wa Singida Mjini na Rais wa Chama cha Wanasheria cha Tanganyika, Mhe. Tundu LISSU Amefukunyua Mambo mengine Mazito Zaidi Kuhusu Sakata la Mchanga wa Dhahabu

updates:Tuzo za Wachezaji Ligi Kuu, Tshabalala, Niyonzima, Kichuya, Mbaraka, Msu...

Tuzo za wachezaji wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, jana zilitolewa katika hafla iliyofanyika Jumatano katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam ambapo wachezaji mbalimbali na makocha waling'ara.wachzaji kama haruna niyonzima kwa yanga,Tshablal wa simba wang'aa kwenye tuzo hizo za ligi kuu bara

news:msukuma asema professor magembe amefeli

news:KAULI YA NIYONZIMA BAADA YA KUPEWA TUZO

Tuzo za wachezaji bora VPL, zimezidi kuwa gumzo ambapo Mchezaji Haruna Niyonzima wa Klabu ya Yanga, yeye alinyakua tuzo ya mchezaji bora wa kigeni. Global Tv Online ilipiga naye stori mbili tatu akiwa na mkewe kwenye ukumbi wa Mlimani City.mchezaji huyo ambaye ndiye fundi kwenye kikosi cha yanga aelezea mtarajio  kwenye ligi kuu bara inayokuja

NEWS:Mapendekezo 9 JPM ameyapitisha kutoka Kamati ya mchanga wa madini

Leo May 24, Ikulu Dar es salaam Rais Magufuli amepokea ripoti ya Kamati Maalum iliyoteuliwa na Rais kuchunguza mchanga wa madini kwenye makontena 277 yaliyozuiwa na serikali kusafirishwa kwenda nje kwaajili ya uchenjuaji.


Kamati hiyo iliyoongozwa na Mwenyekiti wake Prof. Mruma imemkabidhi ripoti iliyoonesha kuna upotevu mkubwa wa mapato na rasilimali za nchi, ambapo ripoti imesema Tanzania inapoteza kiasi cha Tsh. Bilioni 829.4 hadi Trilioni 1.439 kwa kusafirisha mchanga nje ya nchi.

update:offer for you



Hi!
My name is Eric Godson I’m from Tanzania, I hope you’re doing well in your respectively country.
I have to in order to win is to sacrifice yourself on i.e. like to say that today the world seem as the global society where people from different country could easily communicate by different mean that suit them.
Dear friend:
 I would like to say that I have got a lot of talent of writing songs but unfortunately I don’t know how to sing. Therefore I hope your guys from wherever you are in these global you have the talent of tuning your voice to be a nice one ever here I have a proposal to make to you.
I’m selling my song for better and cheap price the song have not yet got someone to make money from it so you guys you have a chance of winning the bid on the make please if your interest on what I have expressed on above please contact me on my  e-mail account which is
Ericgodson2016@gmail.com or visit on my blog which is kwanguleo.blogspot.com. facebook eric godson. or on twitter godson-eric
Vision. “I need to sell my song even for a little or cheap price since what I need to be motivated on what I’m doing since what I now is that when someone contract for a something that you’re doing is what make you proud of it. I still pray that my song will be one day on the air somewhere and someone is changing his/her life from my song that I have made”.by Eric godson.
Dear singer.
I will be in touch with your support with whatever you wish to do to me.my song are in the form of verse and chorus and their in a form of love songs, praise song, motivation song or inspiration songs. Here where is a chance for you to win what you have dreaming for your awards a waiting for you, the global is waiting for you to be famous. Please contact me.

breaking news:Mvua Kubwa Yatikisa Dar... Maji Yavamia Makazi ya Watu

bmvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo tofauti tofauti nchi zaendelea kuleta mazara makubwa kwa wakazi wa maeneo husika.leo mvua zinazoendelea kunyesha zimeshaleta mazara makubwa kwa wakazi wa mkoa wa dar es salaam kwani maji yanaingia kwenye majumba ya watu .

breaking news:Wizara ya Maliasili yataja mahitaji yake ya Fedha 2017/18


leWaziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe leo May 23, 2017
amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha ya Wizara
hiyo kwa mwaka wa fedha 2017/2018 ambapo ameomba kutengewa Tsh. 148.5b.o hii wizara ya maliasi na utalii yapitisha bajeti yake kwa mwaka 2017/2018.

breaking news:Ripoti ya mchanga wa dhahabu mezani kwa JPM


leo hii taarifa kuhusu mchanga wa dhahabu imefikishwa mezani kwa raisi kwa ajili ya kuipitia.akielezea hayo mkuu wa kitengo cha habari kutoka ikulu ndugu gervans mhando hapa akielezea riport hiyo

EXCLUSIVE: Ben Pol afunguka kuhusu picha zake za bila nguo



Mwimbaji
staa wa RNB Ben Pol amekaa kwenye OnAIR with Millard Ayo na kueleza ni
kwanini na ilikuaje mpaka akapiga zile picha za bila nguo na kuzipost
kwenye Instagram yake.

EXCLUSIVE: Ben Pol afunguka kuhusu picha zake za bila nguo



Mwimbaji
staa wa RNB Ben Pol amekaa kwenye OnAIR with Millard Ayo na kueleza ni
kwanini na ilikuaje mpaka akapiga zile picha za bila nguo na kuzipost
kwenye Instagram yake.

RUGE MUTAHABA AMJIBU PAUL MAKONDA

Mkurugenzi wa vipindi vya clouds media Ruge Mutahaba ameongelea mambo
kadha wa kadha yaliyoibuliwa na Mkuu wa mkoa Paul Makonda kuhusu yeye
.Fuatilia hapa kwa karibu zaidi.

upadae:SIKU YA FISTULA DUNIANI


hii hapa siku ya fistula duniani kiundani zaid

update:Kila mtu anatakiwa kula kilo 20 za samaki - Ngwali


hii hapa kauli aya muheshimiwa ngwali Mbunge wawi Ahmad Juma Ngwali amekerwa na serikali kupoteza mapato mengi
bahari kuu akisema kuwa kitendo hicho hakikubaliki na kuitaka wizara ya
Kilimo, Mifugo na Uvuvi kuja na mikakati ya kuinua sekta hiyo

updates:full video ya wapo concert

mwanamziki ney wa mitego alikuwa aki fanya performance katika tamasha la wapo concert lililokuwa linafanyikia  dar live

Serikali Yaajiri Waalimu Wa Sayansi Na Hisabati 4,129.

Akijibu Hoja Za Wabunge Baada Ya Mjadala Wa Bajeti Ya Wizara Ya Elimu
Sayansi Na Teknorojoa Mhe, Stella Manyanya Amesema Kufatia Upungufu Wa
Walimu Wa Sayansi Serikali Wameajiri Walimu 4,129 Ambao Wamepelekwa
Katika Sule Mbaimbali Nchini

breaking news:mbunge wa mlalo alia na bei ya tangawizi

Mbunge Wa Mlalo Mhe. Rashid Shangazi Amelalamikia Bei Ya Tangawizi Sokoni Ambayo Inasababisha Wakulima Kupata Hasara.
Ikumbuke
Tangawizi ni Zao Ambalo Linalimwa Kwa Wingi Wilayani Lushoto Na Maeneo
mangine Nchi Kama Kigoma Tangawizi Ni Kiburudsho Katika Chai Pia
Inatumumika Katika Matumizi Ya Dawa Pamoja Na Kuleta Radha Katika
Chakula

news:sasa wamehamia kwa singida united sport pesa

Kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa imeendelea kuonesha dhamira
yake katika kuhakikisha Ligi Kuu soka Tanzania bara msimu ujao
2017/2018 kunakuwa na ushindani wa kweli kutoka katika timu mbalimbli
kutokana na jitihada zake za kudhamini vilabu kadhaa. Baada ya kuingia
mkataba wa udhamini na Simba na Yanga katika kipindi cha miaka mitano
wenye thamani ya zaidi ya Tsh Bilioni 4, leo May 23 wametangaza kuingia
mkataba wa mwaka mmoja wa udhamini na club ya Singida United ya Singida
wenye thamani ya Tsh milioni 250.

Tanzania ya viwanda iende sambamba na kuimarika kwa kilimo, Wabunge

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameonyesha wasiwasi
wao kuhusu kutekelezwa kwa sera ya Tanzania ya viwanda kwani serikali
haijaonyesha nia ya dhati ya kuinua kilimo nchini. wabunge hao waendelea kusisitiza kuwa tanzania inahitaji fikra mpya kwa watanzania wake ili maendelea yaweze kuwa na tija kwa taifa                                                 

updates:"tunafanya upelelezi juu ya uvamizi wa clouds media"kamanda sirro

kamanda sirro aelezea  juu ya upeezi wa jinsi ni kwa nini mclouds media ivamiwe pasipo kibali maalumu

update:ukiingia kwenye laini ya uhalifu twakugonga

kama sirro asema ukinngia kwenye kundi la uhalifu lazima wakukamate kwa namna  yeyeto hile lazima wakukamate

TRA yahimiza ulipaji kodi

mamlaka ya mapato tanzania mkoa wa mwanza wahimiza ulipaji kodi kwani kulipa kodi huko ndio kunaifanya serkali iendeshe mradi yake mingi ya kimaendeleo

MAKONDA: MIMI SIKUVAMIA CLOUDS

mkuu wa mkoa wa dar es salaam amesema kuwa yeye hakuvamia clouds kwani clouds ni kama nyumbani na kuendelea kusema kuwa clouds wanatumia computer yake kufanya editing ya kazi zao

UPDATES:IDARA YA UN YAHIMIZA KUTOA MSAA KWA BARA LA AFRIKA

Shirika la umoja wa afrika UN pamoja na shirika la chakula duniani lahimiza kuwa lazima misaada ya chakula lazima itolewe kwa nchi  za afrika kwani inasemekana sehemu kubwa ya sehemu ya bara la afrika limekumbwa na baa la njaa.

VOA YADHIBITISHA KUWEPO KWA NJAA BARA LA AFRIKA

SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA VOA LIMETHIBITISHA TATIZO LA NJAA ABALO LINAKUMA BARA HILI LA AFRIKA.KUTOKANA MAELEZO YA VOA SAUTI YA AMERIKA WANASEMA ASILIMIA KUBWA YA SEHEMU YA AFRIKA IMEKUMBWA NA BA LA NJAA NCHI KAMA SOMALIA AMBAPO NCHII IMEKUMBWA NA VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE NA KUSABABISHA MAMIA YA WAKAZI AKE KUIKIMBIA NCHI YAO HUKU WAKIMBIZI HAO WAKIKUMBWA NA NJAA KALI NA KUKOSA MAJI

VOA YADHIBITISHA KUWEPO KWA NJAA BARA LA AFRIKA

SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA VOA LIMETHIBITISHA TATIZO LA NJAA ABALO LINAKUMA BARA HILI LA AFRIKA.KUTOKANA MAELEZO YA VOA SAUTI YA AMERIKA WANASEMA ASILIMIA KUBWA YA SEHEMU YA AFRIKA IMEKUMBWA NA BA LA NJAA NCHI KAMA SOMALIA AMBAPO NCHII IMEKUMBWA NA VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE NA KUSABABISHA MAMIA YA WAKAZI AKE KUIKIMBIA NCHI YAO HUKU WAKIMBIZI HAO WAKIKUMBWA NA NJAA KALI NA KUKOSA MAJI

update:msikilize harmorapa akiwachana WCB

Kwa sasa mtu ambaye atakuwa hamfahamu harmorapa bas atakuwa si mtoto wa mjin.harmorapa ni moja ya vipaji ambavyo vinakuwa kwa kasi katika kiwanda cha mziki tanzania.hii hapa ilikuwa ni mahojiano yake na diva the bosi lady. pia katika mahojiano hayo  aliwachana wcb

update:majambazi sugu kutoka tegeta wauwa

hali katika jiji la dar es salaam kwa sasa ni mbaya kwani majambazi wanendelea kuibuka katka kila kona ya jiji hili wakitaka kuporamali za wakazi na wafanyabiashara wa jiji hili.kutoka tegeta polisi wamefanikiwa kuwauwa majambazi wanne ambao walikuwa katika hatua za kufanya ujambazi

BREAKING: polisi wauwa majambazi wanne kariakoo

kikosi cha polisi jijini Dar-es-salaam wamefanikiwa kuwauwa majambazi wanne ambao walikuwa wamevamia kwenye soko la kariakoo.polisi wamefanikiwa kuwauwa majambazi haobaada ya kurushia risasi kwa muda

LIVE: Taarifa ya Habari ya TBC 1 (Jumapili Mei 21, 2017 - Usiku)

hii hapa aarifa ya habari kutoka kkatika shirika la utangazaji tanzania (tbc)

Breaking news:pole nahodha wa serengeti boys

Nahodhawa serengeti boys issa makamba katika hali isiyotarajiwa na wengi amevunjika mguu wakati akifanya mazoezi ya kawaida.makamba aliumia mwenyewe.kwa hali hiyo inampelekea nahodha huyu kukaa nje ya uwanja kwa muda wa miezi mitatu kabla hajarudi tena uwanja

update:simba wagomea ushindi wa washindi wa pili ligi kkuu bara

baada ya yanga kutangazwa kuwa ndio washindi wa ligi kuu bara na wapinzani wao kupewa nafasi ya pili kama washindi lakini katika hali isiyo ya kawaida timu ya simba imekata zawadi hiyo.

UPDATES:HAATIMAYE VIONGOZI WA AFRIKA MASHARIKI WATIA SAINI UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA

Haimje ule muda ambao ulikuwa unasubiriwa na wanaafrika mshariki umetimia kwan ssa viongozi wa afrika mashariki wameweka saini ya ujenzi wa bomba la mafuta kutoka uganda mpaka bandari ya tanga

UPDATE:TSHABALALA ATAJA TIMU ILIYOWAKOSESHA USHINDI

Beki chipukizi wa simba ametja timu ambayo imewafanya wakose ushindi.

UPDATE:HUYU HAPA MMOJA YA WANAFUNZI WALIONUSURIKA KATIKA AJALI YA ARUSHA

Hizi ni salamu kutoka kwa mmoja kati ya wanafunzi walionusurika kwenye ajali ya arusha hapa akitoa salamu kwa watanzania ambao bado wanawaombea kutoka marekani ambako yeye na wenzake wamepelekwa kwa ajili ya matibabu

update: zamu y bagamoyo mashindano ya magari 2017

baada ya kushuhudia mashindano haya yakifanyika kwenye mikoa tofauti tofauti sasa ni bagamoyo.usiwe mtazamaji wa vipindi kwenye television njoo uone hizi kali live bila chenga

MJUE HUYU;HUYU HAPA DADA YAKE MHESHIMIWA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI

Najua ulikuwa unamjua mheshimiwa rais peke yake ila huyu hapa ni dada wa rais wetu mpendwa John pombe magufuli.mheshimiwa raisi ametokea kwenye wilaya ya chato.

update;tanzia wachimbaji wawili wafariki mkoani iringa

wachimbaji wawili katika kijiji cha masuluti mkoa iringa wamefariki dunia kutokana na kukosa hewa na pia kukosa hewa kutokanana kukosa hewa ya oksigen.

UPDATE;YAJUE YALIYOTOKEA KWENYE ZIARA YA SIKU TATU YA MHESHIMWA RAIS MKOANI KILIMANJARO

Ilikuwa ni tarehe 29 april mwaka huu ambapo mheshimwa rais alikuwa na ziara katika mkoa wa kilimanjaro ambapo alikpokewa  kwa ngoma na vifijo vya nderemo.ziara ya rais ilikuwa ni ya siku tatu ambapo katika ziara yake iliamabatana na maadhimishisho ya wafanyakazi ambayo kitaifa yalifanyikia pia mkoa huu wa kilimanjaro

update;maadhimisho ya miaka 21 ya kuzama kwa meli ya mv bukoba

Japo ni huzuni sana kuwapoteza wapendwa wetu wote katika tukio la kuzama kwa meli ya mv bukoba.zoezi la kuwakumbuka watu waliokufa katika ajali hiyo ya mvi bukoba.

JUA HII:HII NDIO TASWIRA YA MJINI WA KISASA ANAYOTAKA AJENGE

Mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima aendelea kuelezea jinsi mji wake utakavyokuwa pamoj namadhari ya mji huo utakavyoonekana katika taswira hii.akiendelea kuongea akisema wakati akiwa katika uzinduzi wa helikopta yake kawe ambapo alikutana na mchungaji mmoja akamwamwambia afrik mashariki hakuna mchungaji anayemiliki ndege ila kwa sasa kwa gwajima ametengeneza njia

breaking news:jengo jipya la kanisa la gwajima ndio kubwa zaidi

Jengo jipya  la kanisa la mkuu wa kanisa la ufufuo nauzima josephat gwajima ndio linalosemekana kama kanisa kuba kwa sasa katika ukanda huu wa afrika.haya hapa maelezo yake juu ya ujenzi wake na akielezea jinsi wa uzinduzi wa kanisa lake hilo

breaking news:kauli ya nahodha wa simba juu ya liigi kuu bara msimu wa 2016/2017

huyu ni nahodha wa timu ya simba fc akielezea jinsi msimu mzima waligi kuu bara ya tanzania 2016/2017 jinsi ilivyokuwa na jinsi wanavyojipanga katikamsimu ujao wa ligi kuu bara ya tanzania bara

breaking news:Hii hapa ya mheshimiwa ezikieli maigeakitoa mchango kwenye wizara ya kilimo

mbunge wa msalala ezekiel maige atoa mchango wake kwenye wizara ya uvuvi na mifugo akitoa mchango wake kwenye wizara.Akitoa mchango huu ni kuwa wafugaji wengi na wakulima wamekumbwa na magunjwa hasa  funza ambazo bado dawa za kukinga funa hao bado ni ngumu huku wakulima akitumia sabuni za unga pamoja na majivu ili kutibu funza hao

breaking news:zijue sababu za kuujiuzulu kwa said meck sadiki

kama unavyojua uongozi na o ni kazi kama kazi nyingine ila hakuna kazi ngumu kama kuongoza watu zaidi ya miamoja mabo wanahitaji maamuzi yako wakati wa kufanya maamuzi.ungependa ujue  kwa nini mkuu wa mkoa wa kilimanjaro kujiuzulu.endelea msikilize kwa umakini ili uwe ujue ni kwa nini mkuu huyu wa mkoa alijiuzulu


breaking news:haya hapa mapokezi ya yanga fc kutoka airport

Bingwa ni bingwa tu hii inadhihirika leo kwenye timu ya yanga fc kwani umati mkubwa wa watu umejitokeza kuwapokea wachezaji wa timu ya yanga ambo wanatoka mkoani mwanza  ambapo walikuwa wanapambana na mbao fc ambapo tulishudia goli la hamisi tambwe kupeleka kombe hili tena yanga.yanga ilishinda goli  moja

breaking news:jua yaliyojiri lkatika magazeti ya leo tarehe 21 mei 2017

najua ulikuwa bize sana asubuhi ya leo na ukakosa muda wa angalau kujua yanayoendelea kwenye vichwa vya magazeti ya leo taerehe 21 mei 2017.baada ya kujua hilo basi tumia muda wako huu wa mchana kusoma magazeti ya leo.soma ugundu jiya katika nchi yetu

breaking news:miaka 21 ya kuzama kwa meli ya mv bukoba

Japo ilikuwa ni huzuni sana kwa watanzania walio wengi,sio rahisi mtu kusahau hali ilivyokuwa muda ule ambao mtu anapokea taarifa haza za kusikitisha sana.ndivyo ilivyokuwa wakati ule wa kuzama kwa meli iliyokuwa natuma kubwa kwa wakazi wengi wa kanda ya ziwa kwani ndio ilikuwa usafiri mkubwa wa wakazi hasa wa kanda hiyo ya mwanzo.kwa pamoja tuungane na wakazi wa kanda hii ili tuwatie moyo katika kipindi hichi kigumu.Mungu azilaze roho za marehemu amina.

breaking news:mvua yakatisha mchuono wa mziki kati ya sikinde na msongo

Kama wewe ni mpenzi wa mziki basi huwezi kusahau jinsi mchuano wa mziki uliokuwepo zamani kati ya sikinde ngoma ya ukae pamoja na msondo ngoma baba ya mziki.kipindi hicho bendi ya msongo ilikuwa ikiongozwa na Tx moshi pamoja na mzee ngurumo.ila hali ilikuwa mbaya  kwa siku ya jana kwani mvua ilihalibu mchuano ambao ulikuwa unatakiwa ufanyike kati yabendi hizi mbili

NEW.MBUNIFU WA MAVAZI KUTOKA DAR

Je wewe ni mpenzi wa mitindo sasa jibu kama ni ndio basi kuna fursa hii hapa.mbunifu wa mavazi kutoka dar es salaam ameibuka n kufanya mazungumzo na waandishi wa habari jinsi anavyofanya ili kutangaza nguo zake ambazo zinakuwa na nakishinakishi nyingi nyingi

BREAKING NEWS:YANGA MABINGWA WAPYA

Baada ya kuwafunga mbao kwenye mechi ya ligi kuu bara hatimaye time ya yanga african imefanikiwa kuupata ubingwa kwa mara nyingine tena.hii inathibitisha kuwa wao ni mabingwa kuwazidi timu ya simba sports club

breaking news:ifakara wagungua viatu vya kufukuza mbu

kutoka ifakara,kampuni ya inayohusiana na mambo ya ugunduzi mkoa wa morogoro katika  wilaya ya ifakara wamegundua viatu ambavyo vitaweza kuwafukuza mbu wakati wa jioni.utafiti huu bado hauja kamilika kwani uko katika hatu za awali za majaribio

Breaking news:Mwanza wajipanga kukabili ugonjwa wa ebola

ikiwa kama moja ya mikoa yenye vipaumbele vikubwa Tanzania kama vile ziwa victoria ambalo linawatalii wengi ambo wanapenda kuutembelea mkoa huu lakin hivi karibuni ugonjwa wa ebola unasemekana kuibuka katika nchi ya kongo hivyo basi kutokana na hali iinayoendelea nchi kongo ambayo inatenganishwa na mkoa wa mwanza kwa ziwa hili.mkoa huu umejipanga kukabiliana na ugonjwa huu kama maelezo ya mganga mkuu wa mkoa

LIVE: Taarifa ya Habari ya TBC 1 (Ijumaa Mei 19, 2017 -Usiku)

Tazama taarifa ya habari ambayo iko live sasa

UFAFANUZI: Mkemia Mkuu kuhusu Kampuni iliyokamatwa na Kemikali DSM

breaking news:haya hapa maelezo juu ya kupimwa kwa serengeti boys

Afisa habari wa shirikisho la soka tanzania (TFF) akielezea jinsi ambavyo serengeti boys walitakiwa kupimwa kabla ya mechi.Akielezea zaidi ni kuwa kabla ya michezo kuanza lazima wachezaji wawili kutoka kwenye kila timu lazima wapimwa ili kuthibitisha kuwa wachezaji hawatumia dawa za kuongeza nguvu mchezo.

breaking news:Mkemia mkuu ajitosa suala la kemikali

mkemia mkuu wa serikali mheshimiwa Samweli Manyele ametotosa kwenye sakata linalohusiana na kemikali linalohusu kampuni ya Tecno net scientific

BREAKING NEWS:KAMPUNI YA RELI YAHAMISHIA OPERESHENI ZAO MOROGORO KWA MUDA

Kutokana na moja ya madaraja kukatika hasa lile la ruvu kukatika shirika la reli Tanzania limehamisha operetion zake kwa muda mkoa morogoro kutoka na hitilafu ambazo zimejitokeza.Akizungumza na vyombo vya habari kaimu wa idara ya masomo ya shirika la reli tanzania ndugu Shabani juma kiko amesema aabiri ambao walitakiwa wasafiri leo watasafirishwa na mabasi mpaka morogoro ambapo wataendelea na safari yao kama kawaida

BREAKING NEWS:TEKNO ALA SHAVU LA DOLA ZA KIMAREKANI MILLION NNE ZA SONY MUSIC

Baby love me tender ni moja ya mistari iliyoko kwenye nyimbo za mkali kutoka nigeria tekno ambaye kwa sasa anaendelea kuota shavu baada ya kusaini mkataba na colombia music chini ya sony music ambapo atatoa nyimbo tatu ambazo zitasambazwa dunia nzima na lebo hii.Hongera sana tekno

BREAKING NEWS:NAY WA MITEGO ATOA SHOW YA BURE KARUME KESHO DAR LIVE

Taarifa za hivi punde mr nay wa mitego adondosha show ya bure katika soko la karume.Kesho Mr nay wa mitego pamoja na rapa kara kala jeremia hii yote ni ndani ya wapo concert chini ya global tv

BREAKING NEW:VIPAUMBELE VINNE VYA WIZARA YA KILIMO

Waziri wa kilimo dr Charles kizeba katika uwasilishaji wa bajeti ya mwaka wa fedha wa 2017/2018 ambao wizara imetenga kiasi cha shilingi 267.8 billion kama fedha zitakazotumika katika mwaka wa fedha huo.huku akiendelea kutoa tozo katika nyanja mbalimbali ambazo ni maziwa na nyama

BEAKING NEWS:DK TIZEBA"TUNAFUTA TOZO 80 KWENYE MAZAO

waziri wa mifugo na maji Dr Charles kizeba ametangaza kufuta tozo 80 za mazo ambazo ziliwekwa kwenye mazao ambazo zilikuwa zinawafanya wakulima kuacha kulima mazao hayo kutokana na kukosa faida katika mazao hayo.kwa kufanya hivyo serikali inawaakikishia wakilima kuwa sasa wanaweza kupata faida katika mazao hasa ya biashara

UKIWA WAZIRI,NAIBU WAZIRI LAZIMA ULINDE SERIKALI YAKO-CHARLES KITWANGA

Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi kabla ya  kutenguliwa na raisi amefunguka na kusema kuwa unapokuwa waziri au naibu waziri ni lazima uilinde serikali yako kwanguvu zako zote.lakini watu wengine watahoji kwa nini ulikuwa kimya muda wote mpak leo hii uongee leo.Asema lazima nitetee serikali yangu na sasa anasema yeye ni mbunge wa kawaida huku akisema hawazuii watu kusema kile wanachokiongelea juu yake.

HARMORAPA KIINGEREZA NI UTATA!!!!!!

wimbo wake wa kiboko ya mabisho aliouimba na juma kiroboto a.k.a juma nature umemfanya aweze kutengeneza headline nyingi kwenye social media hasa kwenye mitandao kama youtube,instagram.alianza kiutani tu ila sasa anaendelea kufanya pouwa kwenye game ila jamaa anaugwanjwa mmoja tu kiingereza kwake bado ni tatizo hii imethibitika kwenye interview iliyofanyika na clouds ala za roho chini ya diva loveness'the boss lady'

SITOISAHAU STAGE YA TANGA DEC 25"HARMONIZE"

Kila mtu anakitu ambacho hata kisahau kwenye maisha ila harmonize hata isahau hii ya mara ya kwanza kwenye stage mkoani tanga kwani ndio ilikuwa mara yake ya kwanza  kukutana na mashabiki zake wa Tanga tangu alipotoa wimbo wa haiyola